"TOP Secret" US Military Weapon Message to RUSSIA 2016

Niliona hiyo hii dunia huko mbele sijui itakuaje watu wakiingia vitani ,ila kati ya komandi zote ya anga ndio inanitisha zaidi nikifikiria jinsi watu walivyo wekeza kwenye teknolojia ya kutengeneza midege ya ajabu

Kama Mig-21 za miaka hiyo ikipita mita 300 kutoka usawa wa bahari lazima udate itakuaje kwa f-35 japo yenyewe haina kelele sana ama itakuaje wakifikia f-50
 
Wamarekani wanapenda movie sana. yaani hata kwenye mambo serious wanaact movi.
Hahahah...Et movie... Na zile za Urusi huzionagi nini... Hyo si documentary tu km documentary nyngne na vitu vyote vilivyooneshwa humo ni vya kweli kuanzia hyo F117,F22,F35,Comanche helicopter, nk
 
N. Korea paper says Japan, local US bases targets in war
 
Back
Top Bottom