Top reasons why people marry

If I will marry someone it will only be for love and nothin else.
 
ubarikiwe!
Amina kamanda.
nasikia wengine wanaoa kwa kuwa wanapendana milele. ukifa na pendo laenda na wewe hakuna milele. kilichopo ni kulala bila nguo za ndani usiku na ktk entirely ndoa life kujaribu kuwa perfect while you are not.

Nimeoa na ninalala nae bila ANDAWEA usiku kila siku. ingawa competition haina time yake maalum.
 
Imeandikwa kuwa WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO

Kuna busara kubwa sana kwenye haya maandiko. Ukitizama kwa makini, migogoro mingi katika ndoa imejikita katika eneo hili.
 
Kuna busara kubwa sana kwenye haya maandiko. Ukitizama kwa makini, migogoro mingi katika ndoa imejikita katika eneo hili.

Imekuwa tofauti sana SMU kuna jinsia moja yenyewe inataka ifanyiwe hivyo vitu vyote both KUPENDWA NA KUHESHIMIWA lakini at the same time kutokana na mabadiliko katika maisha ya sasa hivi kila mtu anaona yeye ni bora kuliko mwenzake kutokana na HELA au KAZI anayofanya kitu ambacho kinatufanya tusiweze kurudi katika hayo maandiko (WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO).
 
Naoa ili nipate uturivu moyoni. Ukiona umeoa kisha huna uturivu, ujue umekosea kuchagua mke.
 
Imekuwa tofauti sana SMU kuna jinsia moja yenyewe inataka ifanyiwe hivyo vitu vyote both KUPENDWA NA KUHESHIMIWA lakini at the same time kutokana na mabadiliko katika maisha ya sasa hivi kila mtu anaona yeye ni bora kuliko mwenzake kutokana na HELA au KAZI anayofanya kitu ambacho kinatufanya tusiweze kurudi katika hayo maandiko (WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO).

Tatizo kubwa tulio wengi hatuna imani. Laiti kama kila upande ungeweza kutimiza maneno hayo ya Paulo kwa Waefeso shida nyingi katika ndio zingeondoka.

Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa; naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake. Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote. Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake. Alifanya hivyo, ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji, kusudi ajipatie kanisa lililo takatifu na safu kabisa, kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo. Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. (( Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa, maana sisi ni viungo vya mwili wake.) Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: "Kwa hiyo, mwanamume atawaacha baba na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja." Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake. Lakini yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.
 
Katika kitabu cha Mathayo sura ya 19 imeandikwa, hivyo mtu atamwacha baba yake na mama yake na ataambatana na mke wake kuwa mwili mmoja.Hivyo kwangu mimi ndoa ni mpango wa mungu na anayepinga hilo basi anapingana na mungu.Tatizo kubwa lililotukaa sisi wanadamu wa leo ni kukosa uvumilivu na kujijali wenyewe kupita wengine,hii ni kwa jinsia zote wake kwa waume.Kama mke na mume wangetendeana vile ambavyo kila mmoja anapenda atendewe basi ndoa ingekuwa taasisi imara kuliko taasisi zote.Lakini mara nyingi haiwi hivyo na ndio sababu hata neno ndoa leo hii kwa baadhi ya watu linakosa maana.
 
Back
Top Bottom