Top hiphop artists in Tanzania

ule mwamba wa kaskazini ! ukifuwatiwaa kwa mbaalii na mzee wa kikosi, dogo wa mitego.....huyo ngosha wenu mjinga mjinga muuza sura hata kwenye 50 bora hayupo! na hii ndiyo real hip hop!
 
ule mwamba wa kaskazini ! ukifuwatiwaa kwa mbaalii na mzee wa kikosi, dogo wa mitego.....huyo ngosha wenu mjinga mjinga muuza sura hata kwenye 50 bora hayupo! na hii ndiyo real hip hop!
Unajuautofauti was hiphop kweli?au unadhan kila anayerap ni hiphop?
 
walobakia ni;joh Makini,fid Q,g Nacko,mwana Fa,nikki Wa Pili,godzilla,darasa,stamina.R I P ngwair
 
1. Fid Q
2.Roma
3.Stamina
4.Joh Makini
5.Niki Mbishi
6.Prof Jay
7.Afande Sele
8.Msodoki
9. Songs
10.Mwana FA
 
Top in what sense??..
*Uandishi(Impact ya mziki wake ktk Jamii/Taifa n.k
*Mafanikio kimuziki(Tuzo/wealth/net worth??)
B specific
 
1.Albert mangwair (rip) huyu namkubali hadi kesho .
2.Godzilla ni balaa everybody know.
3.Nikki mbishi hahahaaa huyu jamaa anajijua mwenyewe.
4. Young daresalama anajua sana huyu
5. Young killer Msodoki
Mbona young killer hujasema lolote...??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom