Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

Mnazidi kutuumiza kichwa tulio mtaani tusiokua na kazi na degree zetu diploma sasa nimeamua tu kusoma sina jinsi HR yoyote anisaidie jaman mtaan kugumu email me fattiekims@yahoo.com. Make hizi wana jamii forum ni za kujuana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
-techoserve
- USAID
-DANIDA
-NORAID
-LAND O` LAKE
-JICA
-BOT
-UNDP
Ebana,ukibahatika kupata kazi kwenye moja ya hzo organization hapo juu,utapiga mkwanja mpaka mama mkwe wako akutamani.
 
What i know ni kwamba last year nikiwa chuo lecturer wangu wa Industrial economics aliniambia kuna kampuni ipo morogoro inaitwa Alliance One Tobacco Tanzania Ltd inalipa mishahara mikubwa mno, nakumbuka aliongea kitu kama $ 40,000 hiv kwa managerial level. Kama ni hivo hata hawa wa chini watakua wanapata kiasi kikubwa mno. Hii ni kampuni iliyopo chini ya mwavuli wa multi national kampani moja inaitwa ALLIANCE ONE INTERNATIONAL INC. Naskia hata TCC wapo juu wanapata sana faida makampuni ya Tobacco
 
Jamani kuna NGOs za kimarekani zinalipa achaneni na mambo ya kizamani kuulizia kampuni ungeulizia hivyo wakati kampuni ni taasisi za serikali hata hivyo kuna taasisi za serikali kama ewura etc zile ambazo ni authority zinalipa sana.
 
Kwa wanaopenda health-related research Ifakara Health Institute ni pazuri. Malipo si mabaya na wanajitahidi sana ktk career development.

Ifakara Health Institute aka IHI choka mbaya sasa hivi mpaka wanafukuzana na kupunguzana.Dr.Salim kaharibu sana hiyo taasisi na Mzee Lugendo -FAM
 
-techoserve
- USAID
-DANIDA
-NORAID
-LAND O` LAKE
-JICA
-BOT
-UNDP
Ebana,ukibahatika kupata kazi kwenye moja ya hzo organization hapo juu,utapiga mkwanja mpaka mama mkwe wako akutamani.

Apart from UN.

Hata hivyo sijui kwa nini amesema apart from UN, angeweka vigezo. Kuna kampuni siku hizi zinawajali wafanyakazi wao kuliko UN ya sasa, UN ilikua zamani.
 
I am sure kwa wengine, best ni yale ambayo wanaweza kuiba kirahisi, while kwa wengine best ni yale yasionyonya au kuiba maliasili za taifa. Barrick halitakiwi kuwa ktk list ya top 1000..... majizi na mauaji haya !!!!

Kwa kundi la kwanza, Kinana pia meno yakivushwa analipa poa.... !!
 
What i know ni kwamba last year nikiwa chuo lecturer wangu wa Industrial economics aliniambia kuna kampuni ipo morogoro inaitwa Alliance One Tobacco Tanzania Ltd inalipa mishahara mikubwa mno, nakumbuka aliongea kitu kama $ 40,000 hiv kwa managerial level. Kama ni hivo hata hawa wa chini watakua wanapata kiasi kikubwa mno. Hii ni kampuni iliyopo chini ya mwavuli wa multi national kampani moja inaitwa ALLIANCE ONE INTERNATIONAL INC. Naskia hata TCC wapo juu wanapata sana faida makampuni ya Tobacco

Mkuu, hiyo $40k ni kwa mwezi au kwa mwaks. Nafahamu kwamba wakurugenzi (CEOs, MDs) wanalipwa kati ya $20, 000 na $25, 000 kwa mwezi na wanalipiwa gharama nyingine kama shule za watoto, bima, club memberships, n.k.

Hiyo $40, 000 sidhani kama ni mshahara wa mwezi.
 
I quoted my lecturer but if it is not $40 its ok! but at least umeonesha kwamba ni kubwa $25 ni kiasi kukubwa pia kwa mwezi almost milion hamsini
 
Hi

I beg to differ... Barrick gold tena?!!! naona hawa watu walishindwa kunilipa 3.8 M net ( i'm an MBA holder and with almost 8years working experience) while where i was working by then while applied to Barrick i was getting 3.5 M net... Jamani Barrick tena?!! Eti they wnated em to work for them at 2M net......... mhhhh!

Naona ndio maana hawakutaka kukulipa pesa hizo! waliona dalili, na kama ungeomba kazi kwenye kampuni yangu ningekulipa lak 2.5 tu
 
Mkuu, hiyo $40k ni kwa mwezi au kwa mwaks. Nafahamu kwamba wakurugenzi (CEOs, MDs) wanalipwa kati ya $20, 000 na $25, 000 kwa mwezi na wanalipiwa gharama nyingine kama shule za watoto, bima, club memberships, n.k.

Hiyo $40, 000 sidhani kama ni mshahara wa mwezi.

embu twambie korosho, wafanyakaz wa kawaida wanalipwaje hapo kwenye hiyo campany.
 
Vipi makampuni ya simu jamani?

Basi kama unataka kujua namna ukabila ulivyo.basi ni ktk kampuni za simu za mkononi.recruitment,promotion,transfer,n.k vina depends na wewe kabila lako ni lipi!.wana tumia majina mawili kuficha ukabila mfano mtu anaitwa Grace Michael (Kimaro),hilo la tatu kamwe hawatumii. Kazi ni kwako
 
Mkuu hiyo kasumba ni kwa makampuni yote ya simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom