Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania national park(tanapa),TCRA,LAPF,NSSF,PPF,BOT,CRDB
ondoa hizo nimesha test hakuna kitu. ila hii inategemea mtu na mtu na position yakekwa navyosikia ni barrick,precision air,tbl na dt diobbie.
kiukweli kampuni ikiwa huifanyii kazi utaona inalipa au watakwambia wana maslahi mazuri,na kwako unaona bado.ila ki ukweli zinakua nzuri ukizisikia ila ukiziingia inaweza kukuboa.
Barrick is not one of the top 5............ story za mitaani ndo zinawadanganya............... Nilishafanya KMCL by then na ninajuwa nini maana SUGUTI (EN)......... DION................ ANDREW KING ..................NA ILE MIKABULU YOTE...................... BILA KUMSAHAHU MARCUS.......... TULIMGOMEA.................. KAMPUNI INAWEZA IKAWA NZURI LAKINI IKAHARIBIWA NA BAADHI YA WATU............... KINACHOTOKEA MAKAO MAKUU YA BARRICK ......... HAKIWEZI KUKUSAIDIA WEWE UNAYENYANYASWA NA SUGUTI HUKU TZ
Barrick gold company ltd is the best company to work for because it's found worldwide,has the best salaries,safety of the workers is their priority and has one of the best equipments which makes the work easier etc...
Hi
I beg to differ... Barrick gold tena?!!! naona hawa watu walishindwa kunilipa 3.8 M net ( i'm an MBA holder and with almost 8years working experience) while where i was working by then while applied to Barrick i was getting 3.5 M net... Jamani Barrick tena?!! Eti they wnated em to work for them at 2M net......... mhhhh!
Chui security, wanalipa vizuri kwa wakati na sio wagumu kutoa ruhusa pale unaihitaji
Technoserve Inc (NGO)-Project Manager, net 3.2M
European Union-Project officer,Net 4M
Barrick-intermediate levels,net 2M
Tanapa-intermediate levels,net 2.5 M
Grumet fund-intermidiate levels,net 3M
Usaid-Intermidaite levels,net 4m
tcra-Intermediate levels,net 3m
Artumas,intermediate levels,net 3.8 m
Gapco, total Orxy BP and the like
TPA-Intermidiate levels,net 4 m
TRA-INTERMIDAITE LEVEL, NET 5M
Ukimaliza the so called elimu ya juu jitahidi ujiajiri haya mawazo ya kuajiriwa tu, kuajiriwa tu yataisha lini vichwani mwetu wana wa TZ? jiajiri!!!!
Ooh Lord have mercy