Top 5 ya urais 2015

To be honest, Hon. Edward N. Lowassa ni 'golden candidate' kwa Watanzania 2015 kwa sababu ana uwezo usio na kifani wa uchapa kazi. Pia ana uwezo mkubwa wa ku-make bold decisions kwa manufaa ya taifa. Binafsi naamini Lowassa hana mpinzani katika urais 2015.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Sofia Simba anakuja juu!!!
 
Haupo mbali na ukweli,watanzania wanaisubiri 2015 wafanye maamuzi ya mioyo yao.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Lakini Mshindi angekuwa huyu:
photo: by Miwatamu
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
magufuli ni mtekelezaji/mtendaji na sio mwanasiasa ndio maana hajawahi kutaka uraisi anajua kuwa yeye anafaa zaidi kupewa kazi na hiyo kazi akaifanya vilivyo. hapo mtoe.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Lakini Mshindi angekuwa huyu:
photo: by Miwatamu
attachment.php

wassira.jpg
 
Last edited by a moderator:
futa hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material..
tuletee ww ambaye hana dini kabisa kwani no 1 mpaka 5 wote wanadini zao hakuna kati yao mpagani mengineyo ni chuki zako zisizo na mashiko na ww ndu mdini kwani ss hatuhitaji kujua dini zao kwetu hazina faida.
 
Rais ni EDWARDO NGOOO YAI LO HASA a.k.a RICHMOND na tumeanza mapema kwa kutoa misaada kila tunapoitwa si makanisani wala kwa wachoma makanisa sisi tunamwaga mipesa tu hata kama una kikao cha kitchen party we tuite tu tunamwaga pesa si kitoto!! unafanya masihara na ppesa ni nini wenyewe mtanywea!!! kule UVCCM, sasa UWT tumeshajipanga mtatuambia nini ati Mende! Mende ndo ndo nini? mende si mdudu wa chooni jamani? toka lini akapewa heshimu kubwa namna hii
 
Naona watu wanamtaja Membe.... Nilisikitishwa pale aliposema kuwa akiwa raisi wabaya wake labda wakimbilie Kenya. Ile kauli ilikuwa siriaz, ukiipima kimantiki.
 
Mhe. Lo hasa JIPANGE 2015 nchi yako. Anzan kuandaa baraza la mawaziri ila usijiloge kumuweka Mwigulu Mchemba na Mende ni vimeo watakuharibia.
 
Mimi nadhani ni muhimu kwanza tuweke vipaumbele vikuu vitano halafu ndio tupime viongozi kutokana na misimamo yao juu ya vipaumbele vyetu kama wananchi;

1. Maadili ya uongozi, hasa ufisadi - jinsi gani atatatua tatizo lililopo sasa;
2. Muungano (mfumo unaotufaa...)
3. Katiba (msimamo juu ya nini kiwemo na nini kisiwemo, na kwanini...)
4. Itikadi Na Dira ya Nchi (Ubepari? Ujamaa? Mwananchi wa kawaida, hasa vijijini maisha yake yataboreshwa vipi...)
5. Sera ya mambo ya nje - Je, sera yetu ni ipi? Baada ya mwalimu kuondoka, hatuna sera zaidi ya kusafiri safiri na kwenda kutengeneza marafiki; Ni muhimu tukatazama (Mahusiano na WTO, WorldBank na IMF na jinsi gani atapigania tufaidike zaidi na bila upendeleo kwenye biashara ya kimataifa - (hivi sasa viongozi wetu wakisafiri nje hawaendi kupigania maslahi ya wakulima na kutafuta bei nzuri bali kwenda kula tu posho za vikao, shopping...),jinsi gani atatatua tatizo la madeni, jinsi gani ataimarisha economic diplomacy - na nchi gani na kwanini? Role of China, USA, Iran, Brazil, tofauti na sasa ambapo tumekuwa ni shamba la bibi,dampo la biadhaa duni za nje, uwanja wa kujaribia sera za kukuza uchumi...n.k

Tukiwapima wagombea wote kwa vigezo kama hivi na vingine vingi tu, ndio tutajua iwapo tumepata RAIS BORA au tumepata BORA RAIS
Otherwise Tundu Lissu for President? Nitakuwa mstari wa mbele kwenye kampeni kumpigania;
 
5
:msela: He who does not admit defeat or agree to lose, is not a competitor or debator. LOWASSA 2015 mjengoni
 
Back
Top Bottom