Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,962
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
 
Chief, Alonso Madrid aikuwa anaheshimika sana, alikuwa na a.k.a 'El Jefe' ikimaanisha the boss. Alikuwa na uwezo wa kumkoromea hata Cristiano and get away with it, ashawahi kukiri hilo hadharani. Na hata alivyoondoka kwenda Bayern ilikuwa his own wish, Madrid wakatoa Baraka.
 
Bado hakupata heshima aliyostahili.
 
Forget about Xabi, jamaa sio Madrid tu hata National team and all over Spain kama sio Europe anahesabiwa ni mmoja ya watu waliotoa michango mikubwa katika soka la sasa. Na siku akija kucheza Bernabeu ndio utaona jinsi gani wanaheshimu mchango wake. Sasa kama unataka wajenge monument, hiyo ni issue nyingine.
 
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelmem
Ipi ni top 5 yako?
Mashabiki wa Real Madrid walimuheshimu na kumshangilia Claud Makelele ila viongozi hawakujali wala kuheshimu mchango wake.
 
Claude Makelele alikuwa mtu muhimu sana Madrid,nilishangaa walivyomruhusu kuondoka,pengo lake lilionekana dhahiri..
 
Alonso had leo anakubalika madridkuu ukiongelea nation team angalia namba anayocheza ina competition kiac gn na co yye tu wapo had akina Cazora wanalia hivhiv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom