TOP 5 Political Leaders wanaopendwa na Watanzania kwa mwaka 2010

Sidhani kama kuna watu safi ndani ya CCM, wengi ni wanafiki wanaotafuta mkate wa kila siku tu, hawana mapenzi ya kweli na Tanzania. Wanachofanya kwa sasa ni ghiriba tu kwa wananchi ili waonekane kuwa wana uchungu na matatizo yaliyopo lakini ukweli ni tofauti kabisa.

Wadanganyika tunapaswa kulielewa hili ili tuchukue hatua madhubuti kuinusuru nchi na wala nchi hawa. Bado naikumbuka vema kauli ya Dr. Slaa kuwa ni hatari kuendelea kuiacha nchi mikononi mwa CCM. Mimi siwezi kusahau maneno haya ya busara mpaka nchi itakaporudi mikononi mwa wazalendo!
 
SO WHAT??

You have evaluated them based on

1. Performance
2. Talking
3.Just happens???


Talking:
1. Slaa
2.Kilango
3.Sitta
4.Kikwete
5.xxxx

Performance
1. Magufuli
2.
3.
4.
5.Tibaijuka

Just happens

1.Lowassa
2.
3.
4.
5.

Kuna wanasiasa au watu ambao huwa maarufu hutokea tu, lakin theybhave done nothing, na sisi ka sababu tunapenda waongeaji basi akina Kilango, Sitta n.k tunawaweka kwenye 'maarufu'
 
SO WHAT??

You have evaluated them based on

1. Performance
2. Talking
3.Just happens???


Talking:
1. Slaa
2.Kilango
3.Sitta
4.Kikwete
5.xxxx

Performance
1. Magufuli
2.Tibaijuka

Just happens

Kuna wanasiasa au watu ambao huwa maarufu hutokea tu, lakin theybhave done nothing, na sisi ka sababu tunapenda waongeaji basi akina Kilango, Sitta n.k tunawaweka kwenye 'maarufu'

Jeykey
 
1. Dr. Wilbrod P. Slaa 2. J. Mnyika. Hawa wananitosha.Wengine ni maarufu lakini sina uhakika kama wanapendwa.
 
Jamani tuache ushabiki wa kidini hapa tutaje kiukweli watu maarufu.Aliyetaja hapa juu haya majina anaonekana wazi ni mdini

ni wazi wewe umeshindwa kuficha hisia yako ya udini ulichokuwa ukiangalia ni wapi utumbukize udini wako .Ongelea mambo ya msingi chuki zako hapa c mahala pake.
 
Kweli great thinkers HAMJALIANAGALIA SUALA HILI KWA KINA....

TOP 5

1.Makamba.
2.Chiligati
3.Kinana.
4.Sophia Simba
5.Mzee wa "makandokando" Chenge
 
J kikwete
Salma kikwete
Ridhiwani kikwete
Arafa kikwete
Miraji kikwete

No coment:smash::smash::help::A S-danger::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1:

Du!! hii list imeniacha hoi!
Inaonekana unaijua vizuri sana hii famila.
 
Kweli great thinkers HAMJALIANAGALIA SUALA HILI KWA KINA....

TOP 5

1.Makamba.
2.Chiligati
3.Kinana.
4.Sophia Simba
5.Mzee wa "makandokando" Chenge

Huyo namba 4 anagekuwa wa kwanza..duh huyu mama simpatii picha
 
TAKWIMU NYINGI ZITAKULETEA HAWA WAFUATAO

1.DR SLAA-97% NI LULU YA TAIFA HILI AMEONGOZA VITA YA UFISADI NA UBADHILIFU BILA KUOGOPA MTU(we have to remeber list of shame)
2.DR MWAKYEMBE 1% AMEONGOZA TUME ILIYOANGUSHA MIBUYU
3.SAMUEL SITTA 1% AMEONGOZA BUNGE LA TISA KWA MAFANIKIO FULAN
4.FREEMAN MBOWE 0.5% AMEONGOZA CHADEMA KWA MAFANIKIO
5.JOHN POMBE 0.5% pamoja na kutupwa huku na huko amekuwa akifanya maajabu sehem zote anazosimamia somehow ingawa aliuza nyumba za serikali itamcost kweli hii scandle.
 
Naomba uweke uliowaona ni viongozi wa Kisiasa waliopendwa na Watanzania sana 2010
kwa utendaji na si wababaishaji, na wawajibikaji kwa wananchi bila unafiki, usanii i mean
they walk the talk, bila kujali chama, wangu hawa hapa
1. Dr Wilbroad P. Slaa
2. Freeman A. Mbowe
3. Dr. John P. Magufuli
4. Prof. Anne Tibaijuka
5. Dr. Harisson Mwakyembe

Aaahh zimejaa ningekuwa na uwezo John Mnyika angefuatia
Wish you Happy New Year 2011....!!!!!!!!!!![/QUO
Admired by who????? PATHETIC!!!!!!
leteni mada zenye positive impact kwa jamii. sio kulamba wanasiasa miguu mwisho mnakuwa watumwa wa mafisadi
 
1.Dr. Slaa
2.Tundu Lissu
3.Dr. John Magufuli
4.Freema Mbowe
5.Ezekia Wenje Dibogo
Aliyepoteza umaarufu ni Zitto Kabwe
 
tuwatenge kuafuatana umaharufu wao,
1. Dr. Slaa, Kwa kuwakomaza CCM kisiasa na kulipua mabomu ya ufisadi
2. Edu Ngonyani R. (Mkuu wa kashifa za Ufisadi Tanzania nzima ) hata JK N alijua kabla ya kifo
3. J.P Magufuli, machapa kazi mzuri , aliye na sifa za kuuza nyumba za serikali bila mnda kwa bei ya kalanga
4. Zito Kabwe ( aliyeongoza kwa kupendwa akaharibiwa na sifa za kinyonga) na mvurugaji mkuu wa chama CDM
5. Ana Tiba ( mchapa kazi wa kuigwa dunia mzima walijua hilo)
 
Dowans
Eppa
Vodacom
Kagoda
TICTS
Huyo wamwisho amepangishwa nyumba yako kwa miaka thelathini na tano na Mramba aliwaandikia barua wadau wampe ushirikiano. Aisee mpaka tutakapokuwa tumekufa
 
Naomba uweke uliowaona ni viongozi wa Kisiasa waliopendwa na Watanzania sana 2010
kwa utendaji na si wababaishaji, na wawajibikaji kwa wananchi bila unafiki, usanii i mean
they walk the talk, bila kujali chama, wangu hawa hapa
1. Dr Wilbroad P. Slaa
2. Freeman A. Mbowe
3. Dr. John P. Magufuli
4. Prof. Anne Tibaijuka
5. Dr. Harisson Mwakyembe

Aaahh zimejaa ningekuwa na uwezo John Mnyika angefuatia
Wish you Happy New Year 2011....!!!!!!!!!!!

mbona umemsahau mzee makamba? and chiligati too.
 
J kikwete
Salma kikwete
Ridhiwani kikwete
Arafa kikwete
Miraji kikwete

No coment:smash::smash::help::A S-danger::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1:

hapa mzee wa hoja naona moyo uko safi te te teh
 
Back
Top Bottom