comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Na ni mara nyingi Honolulu unaleta thread za kuchokonoa Majeshi shida ni nn hasa
Mtebetini unapotea ukitegemea taarifa za googleWanabodi uki goggle kwenye african military ranking utapata mshangao
Mkuu pamoja na kwamba nina uelewa mdogo kuhusu hayo mambo as far as geopolitics is concerned, vipi unasemaje kuhusu Misri( Egypt) maana ni mojawapo ya mataifa yenye majeshi bora barani Africa na mashariki ya kati....lakini mbona Islamic state wanakalia maeneo ya Sinai na wanapigana na majeshi ya Egypt??? Na vipi tukisema kuhusu boko haram? Si umeona Nigeria ipo kwenye top ten hapo? Lakini wanapigana na book haram na hakuna dalili za kukidhinda hicho kikundi kwa sasa! Haya angalia ni mataifa mangapi yanapigana na Islamic state? Tena ni Yale makubwa kabisa duniani!Kenya kuwa kwenye top ten huku Alshabab wanaisakama inaniuma sana
Yap hii kwanza sio ripoti rasmi..k
kwa kutajwa rdc na kuachwa tanzania ujue ripoti hiyo ni propaganda ya watu fulani dhidi ya nchi fulani.
Mkuu pamoja na kwamba nina uelewa mdogo kuhusu hayo mambo as far as geopolitics is concerned, vipi unasemaje kuhusu Misri( Egypt) maana ni mojawapo ya mataifa yenye majeshi bora barani Africa na mashariki ya kati....lakini mbona Islamic state wanakalia maeneo ya Sinai na wanapigana na majeshi ya Egypt??? Na vipi tukisema kuhusu boko haram? Si umeona Nigeria ipo kwenye top ten hapo? Lakini wanapigana na book haram na hakuna dalili za kukidhinda hicho kikundi kwa sasa! Haya angalia ni mataifa mangapi yanapigana na Islamic state? Tena ni Yale makubwa kabisa duniani!
Sawa...ila nilikuwa naeleza hayo kutoka kwa yule niliyemquote...by the way...it is OK boss.yaani umeuliza swali umejijibu mwenyewe.
1. kwanini Misri/Nigeria inashindwa kuwatoa ISIS/boko haram. (hili ni swali zuri)
2. Mataifa makubwa kabisa duniani yanapigana na ISIS lakini bado hawajashinda. (hili ni jibu zuri)
You are talking with an expert fool!! Napotoshana tu humu na kujaribu kujenga image mbaya kwa jeshi letu. Wewe mjinga kweli kweli. Mdharau kwao ni mtumwaUnaweza kunipa sababu tatu za kunitukana?
Unaweza kunipa faida tatu ulizopata?
Unaweza kunipa hasara mbili nilizo pata??
Kama huna majibu nakuweka kwenye kundi lilelile. Siwezi kulitaja hapa nisije kuwapa mabasha faida.
CC: Nyani Ngabu msome huyu dogo ambaye kashatembea dunia nzima akashuhudia wanajeshi wakipasua vitofali kwa ngumi.
Hata mashoga ni maexperts wa kupumuliwa mgongoni. Sishangai sana.You are talking with an expert fool!! Napotoshana tu humu na kujaribu kujenga image mbaya kwa jeshi letu. Wewe mjinga kweli kweli. Mdharau kwao ni mtumwa