Top 10 Most Important Assassinations In History

Mbona Che Guevara hayupo kwenye list? Hii list ni feki kabisa coz imehusicha ancient peoples like Julius Caesar na hawa wa siku hizi kama Kennedy wamarekani halafu unadanganya eti top ten! kuna watu wengi sana hujawataja na ni maarufu kuliko hawa uliowaweka hapa

Hiyo ni Top 10 kwa mujibu wa walioiandaa. Ikitolewa orodha nyingine italalamikiwa pia, labda tukubaliane vigezo muhimu vya kuwemo kwenye Top 10.
 
Tanzania, Burundi.....

Mkuu KOMANDOO,

umewahi kufundishwa hesabu? kama jibu lako ni ndiyo je 6,802,040 ukiigawa kwa 2,380 utapata jibu gani? Maana kama utakuwa umefanikiwa kupata jibu sahihi basi jibu hilo litakuwa na maana sana kwako kwani lina lenga mkusanyiko "maalumu". Vinginevyo nitakuwa na kupigia kelele tu.
 
Hivi Tanzania April 1984 - Edward Moringe Sokoine haikuwa assassination?
 
Back
Top Bottom