Umenikumbusha Kibaha ilikuwa special kwa wale waliofaulu vizuri form four kwenda Form six kwa comb ya CBA.Darasa zima A Level lilikuwaga ni la vipanga watupu enzi hizo.Enzi hizo mtu akiingia shule za government tu tayari ana division 111 kwani shule nyingi division 0 na 4 zilikuwa ni chache sana au hakuna kabisa na ukichaguliwa lazima ufanyiwe sherehe na kusafiri ilikuwa kwa warrant, hapo kwenye list kulikuwa na KIBAHA ilikuwa ni shule ya agriculture