Toothless TAKUKURU: Uchaguzi UVCCM watawaliwa na rushwa na vurugu

chanzo tbc1

wanadai uchaguzi uligubikwa na rushwa. Wanataka urudiwe.


Ilifika mahali wana uvccm walikuwa hawataki kuona na kusoma sifa za wagombea wao kupitia vipeperushi na wengine walitamka bayana kwamba hawataki vipeperushi ila vipeperushwa.

Walioko dodoma tunaomba habari zaidi.


hiyo ndo raha ya kuwa chama-fisadi na chama- ruswa,ya uwt ilikuwa ya chooni,hii sijui walikuwa wanapeana vipi?
 
chanzo TBC1

wanadai uchaguzi uligubikwa na Rushwa. wanataka urudiwe.


Ilifika mahali wana uvccm walikuwa hawataki kuona na kusoma sifa za
wagombea wao kupitia vipeperushi na wengine walitamka bayana kwamba
hawataki vipeperushi ila vipeperushwa.

Walioko Dodoma tunaomba habari zaidi.

hawana lolote labda kiwango cha rushwa kilikuwa kidogo!
 
hii tanzania kituko sasa,wananchi wanalalamika na rushwa,mkuu wa nchi naye analalamika sijui nani wa kuchukua hatua
 
Uchaguzi umeisha zamaniiiiii we ndo unaleta hii Mada Muda huu.
 
Na wewe ni mwanachama wa umoja huo?.
Kama ni mwanachama basi mimi naomba ujihoji kama nafsi yako inakubaliana na hali ilivyo katika chama hicho.
 
Kwani kuna uchaguzi gani wa CCM ambapo Rushwa haikutumika? Watulie kama wananyolewa vile. Kwanza baba yao alishawaruhusu Rushwa Wale lakini wasimpigie kura Mtoa Rushwa sasa kwanini wao wamempigia kura Mtoa rushwa?

UWT nako kulikuwa na malalamiko ya rushwa kama UVCCM wanakataa uongozi mpya hata UWT walitakiwa kufanya hivyo chama ni kimoja maamuzi lazima yafanane.
 
Na wewe ni mwanachama wa umoja huo?.
Kama ni mwanachama basi mimi naomba ujihoji kama nafsi yako inakubaliana na hali ilivyo katika chama hicho.

,,,naomba unitake radhi mkuu,mimi sio mwanachama kabsa wa hiki chama ila niko hapa chuo field tu,asante
 
Ndio furaha yangu hii. Ngoja niagize safari bariiiidi ili kusherehekea hili.
 
nape hana jipya uson yupo kwa riziwan ila moyon yupo kwa sta,mengi na membe kwa riz1 anapalilia kbarua...alkuwa anamuunga mkono makonda ila wameangukia puaaaaaaaaaaa..anajua nguvu ya lowasa ndio maana alkuwa mstar wa mbele kutaka lowasa afukuzwe ccm sasa lowasa kashka chama UVVCCM,UWT, NEC, WAZAZI,WENYEVITI WA MIKOA NA WILAYA atafte pa kutokea..
 
Back
Top Bottom