kau
Member
- Dec 21, 2011
- 80
- 16
.Inaponyesha kutoka damu wakati wa kupiga mswaki, pia inaponyesha vidonda mdomoni na pia unaweza ukaipaka kwenye vidonda
· Haikwangui meno hivyo kuyaacha meno na ngao yake ya nje imara
· Inasaidia katika mmengenyo wa chakula endapo utameza
· Inasafisha vizuri fizi hivyo inaacha kinywa kikiwa safi na salama
Naomba unijuze ukiwa unahitaji.