Tools nov 2008

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
kuanzia mwezi huu nimeanza kuandaa ukurasa wa tools katika ukurasa hii nitakuwa naandika kuhusu programu ambazo zinatumika katika shuguli mbali mbali za komputa ambazo upatikanaji wake ni bure katika tovuti kadhaa kama kuna wakuchangia naomba tuwasiliane tuweke pamoja
 
Pamoja mkuu hiyo kitu imetulia ile mbaya yaani nimekubali mimi mwenyewe nadhani itatusaidia watu wengi pia.........
 
Thanks Shy, kuna watu tunafaidi haswaa na thread zako! Keep it up man, I personnally will apply them in my activities.
 
Back
Top Bottom