Too good for me. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,808
59,317
Kila mmoja wetu anajua nini anachohitaji kwenye mahusiano na kinapokosekana ama kuwepo zaidi ya alichotaka anaweza akavunja mahusiano hayo.

Kuna watu wanaopenda kuwa na 'YES' kinda man/woman. . Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao watawachallenge. .Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao ni far too generous and UNselfish. . Kuna wanaopenda wapole/wachangamfu/wenye uwezo wa kuwagombeza ba kuwarekebisha/wabaowaogopa and so on, na yakikosekana hayo wako radhi kuvunja mahusiano.

Kwahiyo sio ajabu kusikia mtu akisema "Niliachana na fulani kwasababu ni mpole kupitiliza, she/he was too quite, hana msimamo binafsi, mkali sana" n.k

Hizo hazina ubishi wala sidhani kama inaweza ikamfanya mwenzi wako mpya ajisikie vibaya ukimwambia kitu kama "my Ex was too violent" maana itamweleza kwamba yeye uko nae kwasababu anaweza kucontrol hasira na mkono wake. . .yani ana tofauti 'NZURI' na yule uliyemuacha.

Sasa je kumwambia current partner kua ulimwacha/achana na Ex kwasababu he/she was TOO GOOD FOR YOU kukoje?
Hiyo yaweza kumfanya mtu ajisikie vizuri kuwa na wewe?Au ni jambo la kawaida tu lisilohitaji kuangaliwa kiundani?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

....pheewww, 'whistling'....
Lizzy,....how dare you?

Mwambie you dont discuss exes, kwani kila mmoja ana mabaya
na mazuri yake....lol, pole weee...
 
How can anyone be too good for someone? I don't get it.

I think it's possible.
A good girl (caring, loving, kind, generous, mwenye malengo na nia njema etc) is too good for a player who is just looking out for himself sexually.
 
Too good for me means you have a poor excuse of self esteem.
 
....pheewww, 'whistling'....
Lizzy,....how dare you?

Mwambie you dont discuss exes, kwani kila mmoja ana mabaya
na mazuri yake....lol, pole weee...
Hahahahaha Mbu bana. . .acha hizo bana alafu jibu swali.
 
Mimi ndio itakuwa mwanzo wa kuwa the new EX wake, maana this implies am not good enough!

Hata mimi nadhani it's only fair to call it a quit. Maana inaonyesha huyo current is NOT as good.
 
I think it's possible.
A good girl (caring, loving, kind, generous, mwenye malengo na nia njema etc) is too good for a player who is just looking out for himself sexually.

That to me has to do more with compatibility than 'being too good' for someone.

Who are you too good for?
 
Couldn't it be the same thing?I mean giving someone much more than they deserve, isn't it the same as being 'TOO GOOD' to/for them?!

Hhahaha. .This one dude.
 
How so Neiwa?

One has to have belief and enough dignity to know that they are the best as the way they are. And if it happens one notices is not good enough then it is ones responsibility to make sure they are the best. That way no one in their circle is too good for them.
 
Kila mmoja wetu anajua nini anachohitaji kwenye mahusiano na kinapokosekana ama kuwepo zaidi ya alichotaka anaweza akavunja mahusiano hayo.

Kuna watu wanaopenda kuwa na 'YES' kinda man/woman. . Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao watawachallenge. .Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao ni far too generous and UNselfish. . Kuna wanaopenda wapole/wachangamfu/wenye uwezo wa kuwagombeza ba kuwarekebisha/wabaowaogopa and so on, na yakikosekana hayo wako radhi kuvunja mahusiano.

Kwahiyo sio ajabu kusikia mtu akisema "Niliachana na fulani kwasababu ni mpole kupitiliza, she/he was too quite, hana msimamo binafsi, mkali sana" n.k

Hizo hazina ubishi wala sidhani kama inaweza ikamfanya mwenzi wako mpya ajisikie vibaya ukimwambia kitu kama "my Ex was too violent" maana itamweleza kwamba yeye uko nae kwasababu anaweza kucontrol hasira na mkono wake. . .yani ana tofauti 'NZURI' na yule uliyemuacha.

Sasa je kumwambia current partner kua ulimwacha/achana na Ex kwasababu he/she was TOO GOOD FOR YOU kukoje?
Hiyo yaweza kumfanya mtu ajisikie vizuri kuwa na wewe?Au ni jambo la kawaida tu lisilohitaji kuangaliwa kiundani?
Ni jambo la kawaida tu lisilohitaji kuangaliwa kiundani.
 
Too good for you doesn't exist! such a relation cant stand! one is simply a passerby another is serious! when you realize you are in a such relation the obvious fate is breakup!
 
mi nadhani nimemwelewa, unaweza ukawa so shallow kwenye mahusiano, unamkosea mwenzako mara kwa mara anakuwa mwelewa anakusamehe, unamkosea tena anakusamehe, mpole, unaweza kuwa mkatili bado wala hakasiriki hapo unapomuona kama vile yuko nice sana kwako hadi ha deserve kuwa na wewe.kwa uelewa wangu mdogo
 
One has to have belief and enough dignity to know that they are the best as the way they are. And if it happens one notices is not good enough then it is ones responsibility to make sure they are the best. That way no one in their circle is too good for them.
I don't think it's lack of self-esteem/belief or dignity that makes them realise that, but rather the difference in plans, interests, goals, sacrifises and compromises when it comes to relationships. It's just another way of saying "I'm not being FAIR to you!!"
 
Back
Top Bottom