Too good for me???

Dearest,huyo the Boss haeleweki anapenda sampuli ipi....soma comment yake ya wanawake wa mombasa....em isome halafu tupange....l.o.l
Boss anadai anataka mwanamke ngangari na sio mlaini kama konokono ukimmwagia chumvi tu anayeyuka bila ubishi!!
 
maisha yana leo na kesho..
unahitaji mwanamke ambae hata bahati mbaya
unaugua au umekufa au umefungwa
anaweza kuwa in charge wa familly na familly bizness
umeonaa eh??????

Nimeona tajiri...hata ikibidi awe anajua kuzichapa ukileta ujinga anakukung‘uta kisawasawa!!
 
Michelle darling nimezungumzia kurauka kwa maana ya kuwa usiwe unamuwakia wakia tu bila sababu. Unajua ukianza kujiona hum'deserve' mpenzi wako unawezajikuta unaishi maisha artificial sana........utaanza kuogopa kumuudhi, kumwambia pale anapokosea n.k hali ambao haitakusaidia kukujengea strong relationship na badala yake unabomoa .............

Hiyo ni kweli kabisa my dearest sisy,kuna wakati najua kabisa naigiza na sisemi kile ninachotamani kusema ili tu kuepuka kuonekana mkorofi!!
 
Mabint bwana uwe mpole shida uwe mkali shida,mnataka nini?Mnanikumbusha niliwahi kuleta thread hapa ikieleza kuwa mabint hawajui wanachohitaji mkanizodoa,matokeo yake ukweli mnauweja hadharani wenyewe!

Yamekuwa hayo????nataka mpole,ila sipendi nione kama namuonea....:biggrin1:
 
Habari zenu wana MMU?

Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa!!!

Hivi imewahi kukutokea umekutana na mtu akakupenda na wewe umempenda ila unaona kama hustahili kuwa nae? yaani kwa jinsi alivyo,unajisikia vibaya kuwa nae? kutokana na tabia,historia,mwenendo,mistakes ambazo umewahi kufanya,yaani unaona,i don't deserve this guy/girl....he is just too good for me!!!

Mimi kweli nikipata mwanaume mpole na mnyenyekevu napata shida sana,manake unaweza chukia ukamjibu vibaya yeye yuko tu anakuangalia na baadaye anakuweka chini kwa upole anakueleza tatizo......waga kinaniuma sana,to the extent nafikiri maybe i deserve mtu mkali na mkorofi kidogo.....au mwingine,anakusamehe ukikosea na anakuelewa mpaka unaona,this is too good to be true...na wale ambao unamwambia makosa ambayo unafikiri yatamfanya akukimbie (kama kuwa na mtoto) lakini bado tu yeye anakupenda.....!!!

Nitafurahi kusikia mawazo yenu!


mnh, Michelle bana.
aaah,...haya ngoja nikalale mie.

Hizi mada za usiku usiku mtu waweza ota vibaya bureee
 
mnh, Michelle bana.
aaah,...haya ngoja nikalale mie.

Hizi mada za usiku usiku mtu waweza ota vibaya bureee

mmmhhh kweli,ngoja na mimi nifuate.....ukiamka utueleze tu Mbu,hakuna neno....!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
shukrani sana...hapo itabidi niwe na bunduki yangu au rungu,manake ipo siku utanimalizia mbali kwa ngumi zako!!

Ngumi zangu ni nyepesi usoni (japo utaumia lakini si sana - nitaumizaje wa ubani halafu kesho nilazimike kutoa pesa kumpeleka hospitali?) SIO KAMA YALE MAWE YA TARIME! Kwa hiyo usihofu - no need of "binduki!
 
u see how better u understand me???
ha ha haaaaaaaaaaaa

i got a big ego
and i can back it up lol

I can see that....i wish i could get something out of understanding yo better.....l.o.l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom