Tony Blair awekwa kitimoto cha hatari juu ya uvamisi wa Iraq

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,waziri mkuu wa zamani wa UK Tony Blair amewekwa kitimoto cha hatari juu ya ishu ya Iraq halafu ngoma ipo live world wide.. acha mazee jamaa anatisha when it comes to kijitetea japokuwa sijui mwisho wake utakuaje, kama una access na BBC ama Aljazeera just tune in uone mambo.
 
Hivi mwisho wake utakuwaje, je tunaweza kuona mtu akipelekwa mahakani na kuswekwa ndani?
 
The guy is an Orator si mchezo.pia ana kipaji cha ushawish sana,mimi namkubali huyu jamaa
 
Tunajifunza nini hapa, kuwa hata sisi tunaweza kuwahoji walioshika serikali ktk awamu mbalimbali(pamoja na washauri wao) ni nini kilichangia wakafanya maamuzi ambayo yameiumiza Tanzania.

Zoezi kama hilo litatupatia mafunzo ya kufanya maamuzi mazuri zaidi ktk awamu zijazo za utawala.

Ila nashaka watabisha kwa hoja hii ni Tanzania na si utamaduni wetu. Sawa nakubali lakini naona utamaduni huu (kigeni) una manufaa kwa Tanzania hivyo tuukubali.
 
The guy is an Orator si mchezo.pia ana kipaji cha ushawish sana,mimi namkubali huyu jamaa
He is a Barrister (lawyer) by trade, therefore you'd expect him to cover his grounds. The jury will be out tommorow on the papers, unfortunately the media had made up their minds long ago when there was no evidence of CMD. To make matters worse an expert leading the UN expediton in the matter had explained the situation that Blair was making up fibs int the commons. Only to hear the man had commited suicide by cutting his own wrist. Of course you dont expect Tony Blair to go to prison nor nothing to happen afterwards. Then what is the purpose of all this, its for you to decide democracy, truth be known, etc, etc, etc, etc, etc and so on.
 
The guy is an Orator si mchezo.pia ana kipaji cha ushawish sana,mimi namkubali huyu jamaa

Sawa. Lakini deep down nafsi yake inamsuta. Yaani mpaka anatetemeka mikono akikamata glasi/karatasi.
 
Blair na Bush...ndiyo ile habari ya brotherhood of the roses kama sikosei. Hawa jamaa walifanya viapo naona vya kulindana as "brothers in the same circle". Ile kitu ya Iraq ni uhalifu tu!
 
Imagine kama blair angekua premier wa British sasa halafu Obama US.ingekua kama alliance ya Roosevelt na Charmbalein
 
B liar atapata aibu hapa duniani na baada ya kifo ataulizwa wale watoto na akina mama wa Iraq walikosa nini mpaka kufa kwa mabomu shetani mkubwa...
 
Hii ni sawa na kamati zinazoteuliwa na kikwete, wanatumia taxpayers money halafu hakuna kinacho fanyika

Hii Iraqi inquiry ni sawa na mchezo wa kuigiza na nisawa na zile inquiry za JK, na mtaona mwishowe, japokua ma-legal adviser walisema the war is illegal, lakini hakuna kitachfanyika.

Msimlaumu JK wandugu, hata Wazungu manaowazimia nao ni wasanii, subirini mtaona.
 
Back
Top Bottom