Elections 2010 TOM Chilala wa Star TV hana Weledi...!

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Wadau nalileta kwenu hili...!
Huyu mtangazaji ana matatizo gani..Maana kwenye kipindi cha magazeti anapenda sana kupotezea habari zinazoiponda Serikali..Mfano leo Hakusoma kabisa habari kubwa kwenye Tanzania daima inayohusu kuanguka kwa JK Pale jangwani...!
Hana Weledi kabisa yaani mi namchukia mno..na kujipendekeza kwake Serikalini ndo kumepelekea kupigwa chini TASWA...!
 
Waandishi wengi wa habari wanautafuta ukuu wa wilaya na mkoa. Clouds, TBC1- Marin Hassan etc.
 
Wadau nalileta kwenu hili...!
Huyu mtangazaji ana matatizo gani..Maana kwenye kipindi cha magazeti anapenda sana kupotezea habari zinazoiponda Serikali..Mfano leo Hakusoma kabisa habari kubwa kwenye Tanzania daima inayohusu kuanguka kwa JK Pale jangwani...!
Hana Weledi kabisa yaani mi namchukia mno..na kujipendekeza kwake Serikalini ndo kumepelekea kupigwa chini TASWA...!

yeah hili ni kweli hata mi nimemsikia alivopotezea.....nikajiuliza kulikoni! kumbe anautafuta ukubwa na yeye?
 
Siku ya tukio la kuanguka mheshimiwa pia vituo vingi vya TV havikuitangaza hiyo habari, sasa sijui ni maagizo au ni nini hasa. Ndiyo maana ile katuni iliyowahi kuchorwa kwenye gazeti moja la kenya pamoja na kauli iliyowahi kutolewa na rais wa awamu ya tatu kuhusu wanahabari wetu inakaukweli nafikiri.:shut-mouth:
 
Hivi kila mtu BOGUS na CLOWN tumfungulie thread kweli? Mtu kama anaboa unamu-ignore tu na kuangalia ustaarabu kwingine.
 
Hivi kila mtu BOGUS na CLOWN tumfungulie thread kweli? Mtu kama anaboa unamu-ignore tu na kuangalia ustaarabu kwingine.
Mpumbavu lazma aambie upumbavu wake, dawa ya jipu ni kulitumbua...jamii yetu imejaa walamba #"¤&%%%¤ wengi sana...!lazma washughulikiwe kwa njia yoyote ile...!
 
Back
Top Bottom