Tolea maelezo hii foto

Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania mwenye sifa na uzoefu wa kuongoza kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya Utumishi wa Umma uliotukuka (Utawala Bora).

Pia Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya TANZANIA YAPATA TUZO YA DUNIA YA AFYA,TEKNOLOJIA NA MAENDELEO.

Hayajawahi kutokea kabla yake, Jee, niendeleze? aah, kwa sasa hivi zinawatosha, anzeni kupayuka.
 
Na nani anatoa hizo tuzo? Hivi nyumba ikipendeza anasifiwa aliyepaka rangi au aliyejenga?.....(NB kwa amafundi mpaka rangi ndio wa mwisho)
 
Nyingine hii:

Tuzo ya Kimataifa ya Utalii

Tuzo ya Kimataifa kuwa na Hoteli iliyo bora duniani.

Daahhh, zipo nyingi tu wakati wake, wenye chuki mjinyonge!
Boys_ii_Men_with_Kikwete1.jpg

rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwenye sifa na uzoefu wa kuongoza kuliko rais yeyote wa kabla yake.

Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya utumishi wa umma uliotukuka (utawala bora).

Pia kwa mara ya kwanza katika uongozi wake tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya tanzania yapata tuzo ya dunia ya afya,teknolojia na maendeleo.

Hayajawahi kutokea kabla yake, jee, niendeleze? Aah, kwa sasa hivi zinawatosha, anzeni kupayuka.
na tuzo ya mauaji ya raia bila hatia hawajampa?
Na ya kutoa msamaha kwa mafisadi?
 
Wana jf hivi huyu ndugu anayeitwa Ribosome ni nani? au anaweza kujitambulisha mwenyewe kwani simuelewi elevi vile?
 
ungeanza kwa kuweka picha yako hapa tukaitolea maelezo kama hujakuta unadhalilika maana kila mtu anaeleza anavyooona yeye inafaa kama inavyotokea hapa kwa picha za JK.
 
Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania mwenye sifa na uzoefu wa kuongoza kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya Utumishi wa Umma uliotukuka (Utawala Bora).

Pia Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya TANZANIA YAPATA TUZO YA DUNIA YA AFYA,TEKNOLOJIA NA MAENDELEO.

Hayajawahi kutokea kabla yake, Jee, niendeleze? aah, kwa sasa hivi zinawatosha, anzeni kupayuka.

Hizo tuzo na 'uwezo wake' vimetusaidiaje watanzania?
 
Tuzo ya rais wa kwanza kusafiri/kutalii zaidi duniani (Guiness World Book of records 26th edition page number 863)
 
TANGAZO:
Jamani mimi ni Dr katika maswala ya akiri.in short Dr au tabibu wa machiz.Natangaza kupotelewa mgonjwa 1 wa akiri(chizi)kwa atakayekuwa na tarifa nae ajuze araka iwezekanavyo.anaitwa Ribosome.Nasubiri msaada wenu JF.
 
Mh... kazi kweli kweli, yaani kuna wakati mimi mwenyewe sijielewi kama nipo kwenye nchi ya maziwa na asali ilihali bado hakieleweki. Yaani nashangaa sana mtu mzima na akili zake anaposhabikia tuzo za kujinga kama hizi kwa rais ilihali hajui atakula wapi! Inatia aibu sana. Yaani rais anapewa tunzo ya utawala bora ndani ya nchi yenye vita vya kimya kimya kati ya wananchi wenyewe na serikali yao. Katika hali ngumu ya maisha kama yalivyo hivi sasa hapa Bongo mtu unaweza kushabikia tunzo za kipuuzi kweli? Mbona tunafanya mambo ambayo hayoneshi utashi na uwezo wetu wa kufikiri? Tunafanya hivi kwa faida ya nani? Mh... haya, siku zinakuja ambapo tufahamu mbivu na mbichi....napita tu....
 
Back
Top Bottom