babu mi cijui mida yake lini? Naomba nijulishe
vimeshaanza shobo zao.
wanataka kuchakachua matokeo ya waislamiu..rais na makamu wake ni wakristo ndio wameotoa hii order
Mkuu nadhani sijakuelewa, hebu funguka zaidi nami nipate japo mwanga ktk ujumbe wako.