Toka nianze kuingia JF

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012
 
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012[/QUOTE]

Thanks mama kwa x-mas wishes lakini naomba uedit hapo kwenye red maana bado tuko mbali sana.
 
uzee huu baba asante kwa kunisahihisha
 
Basi na utulie maana ukichemka tu unakula ban 7 days kama hujui. 7 days usipime , ni kama 7 years so be careful .
 
Ubarikiwe sana Maty tupo pamoja

Hivi nguo za X.mass umesha nunua au mbado?
 
He jamani mfamaji kukosea mwaka tu nile ban ya siku 7 mbona nitaumwa
 
asante sana maty,uwe na xmass ya baraka,na mwaka mpya wenye mafanikio.
 
Ubarikiwe sana Maty tupo pamoja

Hivi nguo za X.mass umesha nunua au mbado?

Mh sijui kama nitanunua mwezi umekaa vibaya huu my dia maana salary hii ya dec sikukuu inaungalia, ada za watoto hapo hapo mbona kazi mwe
 
Ahsante sana Maty,

Ndo maana nawapenda wajukuu zangu na naamini pia nanyi mnapendana. JF ni zaidi ya extended family!!
Uwe na xmass njema na usijali pressure zitapungua. Hata ukikosa pesa wewe njoo JF tupige story..utaondoka unaenda kumaliza siku kitandani.

Ubarikiwe sana mpendwa mjukuu mzuri Maty!
 
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012
Uko sawa kabisa Maty

Afya ya mwanadamu imegawanyika sehemu mbili
1. Physical Health
2. Psychological Health

Category ya kwanza ikikorofisha sio ishu sana kwani hata akina karumanzila wanaweza kutatua matatizo ya afya hiyo

Kazi ipo category ya pili ya afya ya mwanadamu, kwani ni wachache sana walio watabibu katika afya hii, na wakati mwingine tiba yake inaweza kuonekana ni kichekesho kwa watu wengine, amini nawambieni ukipata hitlafu hapa hata category 1 inaathirika, watu kama akina Abraham Maslow na wengine ndio walikuwa watalaamu wa afya hiyo

Sasa basi Maty JF ni tabibu katika afya ya kisaikolojia ya mwanadamu, ukija hapa afya yako ya kisaikolojia inamshikeli unapona na kesho utakuja tena, yaani kama muonja asali vile

Thanks JF, thanks Maty
 
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa.

Mkuu angalia sana afya yako JF isije kukuletea magonjwa nyemelezi, unene husababisha magonjwa lukuki ya moyo! Great thinkers huyaita Non Communicable Diseases. Hahahahahah

Happy X-mas buddy!
 
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012
UMECHANGIA JF.......?? Maana kikuburudishacho lazima ukilipie
 
halafu umeongea cha maana hivi nachangiaje maana mi kusoma vingine mvivu nishawahi sikia kuhusu hili na ningependa kufanya hivyo nifafanulie my dia
 
Mkuu angalia sana afya yako JF isije kukuletea magonjwa nyemelezi, unene husababisha magonjwa lukuki ya moyo! Great thinkers huyaita Non Communicable Diseases. Hahahahahah

Happy X-mas buddy!

sijanenepa kihivyo my dia ila nadhani as long as jf inaendelea kuwepo sitakonda bali nitakuwa najitahidi nisinenepe sana
 
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012

Maty bwana furaha zako hadi umevuka 2011 to 2012..kweli JF kuna raha yake, mi mwenyewe na farijika, kuelimika, kuburudika nk..
Noeli njema mamii
 
True story mkuu. JF the right to be whenever you are stressed up in this world of BLOOD SUCKING VAMPIRES!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom