Toka lini kesi ya nyani akapekewa ngedele

Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
999
272
View attachment 52497
Eti wote si wale wale......Nani wa kumpa hii kesi?
Na nini dawa ya huyu nyenze mwenye mapengo?
Ni makauzu zaidi ya dagaa na hawafai kulumagia wala kula umo umo
Hakika wahenga walisema kesi ya nyani asipewe ngedele
 
hahahahahaaa vilaza haooooo

Si unamkumbuka yule wa zamani alipojing atua wakakutana kwenye hotel moja kubwa ya kitalii pembezoni mwa bahari ya hindi wakacheza kiduku na foliti kwa kuwekana sawa

Wengine wakadai tunaowaongoza ni vichaa hawakawii kusahau sasa yamekuja tena hahahahaha yale yale
 
N a tunawajua wao na chama chao ndo wanatufanya waTz kuzidi kuwa masikini ila tu wajue iko siku inakuja watajuta kwa hayo maovu yao
 
Back
Top Bottom