Toka jimboni arumeru: Mambo yaanza kupamba moto, mgombea ccm ajitoa,kisa mchezo mchafu....

ccm hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??? ha ha ha ha sio mchezo mapemaaaaaaaaaaaa higliths bado news
 
Sitashangaa kusikia Sioi Sumari akipitishwa kuwa mgombea wa ccm, kwani hiki chama kina tabia ya kurithishana nafasi kama hizo. Sijui kama watu wa Arumeru wana desturi ya kifalme.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom