Mswada wa mabadiliko ya katiba wapitishwa sasa.....Hii dharau na kupuuza kwa serikali nini matokeo yake? Bunge limepitisha na shangwe zasikika na vigelegele toka kwa wabunge wa viti maalumu.Nadhani sasa kipenga kimelia...ngoja tuone itakuwaje....
Kwa namna mwanasheria mkuu wa serikali anavyoongea huku akiufagilia namna mswaada ulivyowakilishwa na namna alivyoponda hoja zilizotolewa na mh. Lissu pamoja na Machali kuna dalili zote kwamba muswada unaenda kupita bila kupingwa! Ila wajiandae, hiki ndo kifo chao moja kwa moja!! Bye bye CCM!
wacha wapitishe huo mswaa ni wao na sio wa kwetu wananchi na huyo aliyejida kusema anaonga leo na wazee akae mkao wa kula maana sasa hivi hatutaki dharau tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.