Tohara! Tohara! Tohara!

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
idara ya afya mkoa wa tabora imetangaza kutoa huduma ya Tohara kwa wanaume..Na itafanyika wilaya ya nzega..wahi huduma hii ni Bure...
Wanaume miaka 23 watapewa kipaumbele..
Chini ya hapo waje na wazazi.
Tohara ya kisasa..
 
nashindwa kuelewa tukiondoa masuala ya dini suala la tohara kwa wanaume lilianzia wapi?? maana wazungu hasa wa europe wengi hichi kitu kwao hakihamasishwi hivi. wengi sana hawajatahiriwa na ukiwauliza wanakuambia sio culture yao nakumbuka lecturer mmoja alisema hajatahiriwa duh nilishangaa sana na kuona aibu class na kati ya wanafunzi 202 waliopewa vikaratasi vya kuandika kama wametahiriwa au lah wanafunzi 46 tu ndio walikuwa wametahiriwa sababu wanasema sio culture yao kabisa ukimuona ambae katahiriwa labda umkute ni jewish au vinginevyo ial idadi yao ni ndogo mno kwa wasiotahiriwa nilikuwa nawaambia wanakosa mambo mengi sana kwenye chakula cha usiku. maana ni uchafu. ni mpango imara sana kwa kutahiriwa
 
Ni kweli kwa wayahudi waliokuwa jangwani enzi za nabii Ibrahim Alleh Salaam, wasingeweza kupata maji ya kuoga mara kwa mara hivyo ilikuwa ni shurti kwa wanaume kukatwa govi siku ya nane baada ya kuzaliwa, kwa ajili ya usafi. Lakini ukifuatilia nchi nyingi za ulaya wamejitahidi maji ya bomba yapo na hivyo wazungu hawaoni haja ya kukata NGOFI zao.
 
lol kwa huu uzi naanza kupata picha kujua sababu ni nini dah asante kwa kunipa mwanganza.
 
Back
Top Bottom