Tofu Tofu Dance - Beyonce...inspirational...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844

...enjoy the vid guys, kuna kipande hawa jamaa wa tofu tofu dance wenye asili ya msumbiji
anamuuliza Beyonce, "...and who are you?!" hillarious....big up tofu tofu dance, inspirational behind
Who Runs The World/Girls...



 
Last edited by a moderator:

...i wonder jamaa walilipwa mkwanja wa kuwatosha au ndio 'disposables' tu kama
walivyowahi kufanywa wasanii wengine wa kibantu...

..ila hata Beyonce mwenyewe anasema aliwaona hao jamaa wa tofu tofu dance 'pahala' i bet kwa you tube!
akaipenda na hiyo midundo yake kiasi cha kum inspire aitumie...

...imagine choreographers walioshindwa miondoko kiasi cha kuwaalika jamaa toka msumbiji kwenda kuonyesha
jinsi ya kuicheza! awesome....i hope one day kiduku nayo itang'ara...lol!
 
Back
Top Bottom