Tofauti .........

unaona!kama kawaida yetu babu usisahau uongo kwako unaweza kuwa ukweli kwangu.
Kwa mara ya kwanza katika historia,

Leo niko bega kwa bega na mshiki wangu!

Huu ndio ukweli halisi bila kutafuna maneno........... Atakayembishia Lizzy atakuwa anakikimbia kivuli chake na anabishana na hali halisi!....Atakuwa muongo, mzandiki, mnafiki, mpotoshaji,mbabaishaji na mwizi mtupu!!!

Lizzy, uje huku nikupe zawadi yako!!!
 
mimi bana ukinibamba na una ushahidi wa kutosha inakula kwako itabidi uamue unachotaka,hivyo ukiamua kuja kunifumania uwe pia umekwisha kata na shauri kuhusu hatima ya mahusiano yetu.Nikibambwa mimi huwa nakula kobisi tu.
 
Lizzy............. your progress towards maturity surpasses any expectations in my life

You have come too far and i am not here to asses you but i must admit i am learning from you more and more as days come and pass by

Heheheh..thanks MTM....i'm just glad my report card is looking good.....lolz
 
Kwa mara ya kwanza katika historia,

Leo niko bega kwa bega na mshiki wangu!

Huu ndio ukweli halisi bila kutafuna maneno........... Atakayembishia Lizzy atakuwa anakikimbia kivuli chake na anabishana na hali halisi!....Atakuwa muongo, mzandiki, mnafiki, mpotoshaji,mbabaishaji na mwizi mtupu!!!

Lizzy, uje huku nikupe zawadi yako!!!
Hahahaha..babu naona nimekufurahisha kweli leo..
Haya naja kuzawadiwa ili na kesho nijaribu kukufurahisha tena.

mimi bana ukinibamba na una ushahidi wa kutosha inakula kwako itabidi uamue unachotaka,hivyo ukiamua kuja kunifumania uwe pia umekwisha kata na shauri kuhusu hatima ya mahusiano yetu.Nikibambwa mimi huwa nakula kobisi tu.

Bishanga kwahiyo wewe hujali kubambwa na wala ukibambwa huaangaiki kujieleza???
Hiyo inamaanisha nini??Kwamba mwenzi wako hana umuhimu kwako au humpendi sana au humjali...au ndio unamkomoa?
 
mimi bana ukinibamba na una ushahidi wa kutosha inakula kwako itabidi uamue unachotaka,hivyo ukiamua kuja kunifumania uwe pia umekwisha kata na shauri kuhusu hatima ya mahusiano yetu.Nikibambwa mimi huwa nakula kobisi tu.

ukibamba?....
 
Kwa mara ya kwanza katika historia,

Leo niko bega kwa bega na mshiki wangu!

Huu ndio ukweli halisi bila kutafuna maneno........... Atakayembishia Lizzy atakuwa anakikimbia kivuli chake na anabishana na hali halisi!....Atakuwa muongo, mzandiki, mnafiki, mpotoshaji,mbabaishaji na mwizi mtupu!!!

Lizzy, uje huku nikupe zawadi yako!!!

Wanasema mzizi mkavu hauchimbwi dawa, vivyo hivyo kauli ya Lizzy haihitaji justification wala kuipekenyua.... IMEGONGA MULEMULE KUNAKO

we muache Chauro aendelee kutumbua macho tu
 
hahahaha!!!ngoja tuendelee kuwashangaa walimwengu nimeanza kuzeeka mie.
Wanasema mzizi mkavu hauchimbwi dawa, vivyo hivyo kauli ya Lizzy haihitaji justification wala kuipekenyua.... IMEGONGA MULEMULE KUNAKO

we muache Chauro aendelee kutumbua macho tu
 
Tofauti ni kuwa,........Angalia sasa nimekosa cha kusema aaarrggh!
 
we acha mpenzi mie nimezidi kushangaa mpaka maneno huwa yananiishia yani kila siku kuna jipya hakuna kupumzika.

Kupumzika kutoke wapi wakati watu ndo kwanzaa maisha kwao yanaanza!!

Siku hizi mimi hata kushangaa kwenyewe kumeniishia maana unashangaa hadi unazoea

Heheheh....usizooe bana!!!Endelea kushangaa labda watachoka kushangaza wapunguze!
 
Good points......

Lakini mbona tunajisahau kuwa binadamu yuko kwenye kundi la wanyama? Kwa kukataa vitu tunavyofanya tunajitoa kweye hilo kundi. Hebu angalia kuna madume ya nyani yana jike moja, yako madume ya nyani yana wivu.. wako simba ambao wanapigana kwa ajili ya Simba jike etc...

Sometime vitu vingine ni nature ya wanyama...ukiweza kuepukana navyo mshukuru Mungu na tulia hapo hapo!
 
Sasa Lizzy kama watu wameishafanya kuwa ni masiha yao ya kawaida....ukishangaa unaambiwa haujui kitu unaambiwa subiri na wewe yakukute ndio utajua....mhhh kazi kweli....ila hapa chini umenichekesha sana..lol

...Mwanaume anakataa kwamba sio kweli....kama kuna ushahidi wa kutosha anamsingizia shetani kisha anaomba samahani.
 
Lizzy mpenzi kama kuna mtu alikuwa anajua kuamini watu ni mimi na nikisema namaanisha lakin muda unavoenda nimejifunza watu wengi wanayosema ni tofauti sana na matendo mwisho wa siku maisha yanakufunza kufanana nao nimekuwa mgumu sana siku hizi kuamini anayosema mtu especial kwenye mapenzi.
Kupumzika kutoke wapi wakati watu ndo kwanzaa maisha kwao yanaanza!!

Heheheh....usizooe bana!!!Endelea kushangaa labda watachoka kushangaza wapunguze!
 
Good points......

Lakini mbona tunajisahau kuwa binadamu yuko kwenye kundi la wanyama? Kwa kukataa vitu tunavyofanya tunajitoa kweye hilo kundi. Hebu angalia kuna madume ya nyani yana jike moja, yako madume ya nyani yana wivu.. wako simba ambao wanapigana kwa ajili ya Simba jike etc...

Sometime vitu vingine ni nature ya wanyama...ukiweza kuepukana navyo mshukuru Mungu na tulia hapo hapo!

Tulizo kuwa kwetu kwenye kundi la wanyama kusitufanye tuact kama wanyama.Tumepewa akili tuweze kuchambua mambo na kufanya maamuzi binafsi hivyo ni maamuzi tu wala sio asili yetu.
 
Sasa Lizzy kama watu wameishafanya kuwa ni masiha yao ya kawaida....ukishangaa unaambiwa haujui kitu unaambiwa subiri na wewe yakukute ndio utajua....mhhh kazi kweli....ila hapa chini umenichekesha sana..lol

Hhehehe...sindo ukweli huo....hawatraki kua held accountable.
Lazima mtu mwingine achukue lawama...hata kama itakua shetani!!

Yeahhh sasa tatizo ni kwamba wengi tukizoea mwishowe itabadilika na kua mfumo wa maisha kwa wengi zaidi.Kwasababu inakua kama inakubalika.
 
Back
Top Bottom