Tofauti yetu na wenzetu

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Mafuriko makubwa yaliyogharimu roho zisizopungua tano yametoke jimbo la Houston nchini Marekani.

Japokuwa kitaalamu wamarekani wanajua kuwa maeneo hayo hukumbwa na mafuriko makubwa kama yalivyotokea 2001, hakujachukuliwa hatua za kuwaondoa wakaazi wa maeneo ya mabondeni kwa kigezo cha kukaa katika mazingira hatarishi.

Je ni kwa nini serikali ya marekani isipeleke mitambo na kuvunja makazi hayo hatarishi kwa usalama wa maisha ya wananchi wake?

(CNN)Rain-soaked Houston was getting no respite from the weather Tuesday, with a flash flood watch extended through the morning and the possibility of thunderstorms all day.

At least five people were killed in what one official called the most significant flood event since devastating Tropical Storm Allison in 2001.
Texas Gov. Greg Abbott declared a state of disaster in nine counties in and around the Houston area.
 
Huku Tanzania kuna mafuriko Ruvu na maji yamejaa kichizi watu wanashindwa kwenda sokoni toka wiki iliyopita. Je, hizi habari mnazisoma kwenye blogs ama web sites za huko Marekani? Tunaomba mtupe pole jamani nyie wamarekani weusi.
 
Nia yangu ilikuwa ku adress tatizo la bomoa bomoa kwa kisingizio cha kukaa mabondeni.
Naamini umenielewa.
 
Back
Top Bottom