Tofauti ya Ziara ya JK na Kufour

Mafuchila

JF-Expert Member
Apr 29, 2006
751
65
Wana-JF,
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu ziara aliyoifanya rais Kufour wa Ghana kule USA na ziara ya JK huko huko USA. Naomba tuangalie hizi picha chache kwenye kiunganishi hiki Food For Thought

Ili tulinganishe mapokezi ya rais wetu na huyo wa Ghana, ukizingatia wote walipewa mwaliko maalum na Bush.
 
Mzee mbona hakuna the so called kuunganishi chochote kinachotuonyesha hizo picha???
 
wana-jf,
nilikuwa nafuatilia kwa karibu ziara aliyoifanya rais kufour wa ghana kule usa na ziara ya jk huko huko usa. Naomba tuangalie hizi picha chache kwenye kiunganishi hiki food for thought

ili tulinganishe mapokezi ya rais wetu na huyo wa ghana, ukizingatia wote walipewa mwaliko maalum na bush.

hallo tunashidwa kukuelewa omba masada
 
Mafuchila cheki vyema lakini nadhani kuna kitu kina miss hizo link hazionekani.

KAtika hili, juzi nilipatwa na hasira ya ghafla baada ya kuwa naangalia TV wakileta eti kipindi maalumu, nikajipanga vyema mara eti tunaletewa ziara za JK marekani!!

Sijui labda mimi sielewi, hivi kutuonyesha JK anakatiza US inatusaidia nini sisi watanzania ambao kila kukicha garama za maisha zinazidi kupanda?? Hizo pesa wanazo lipia hizo air time kwenye hizo luninga kurusha vipindi hivo hivi zisinge weza fanya kazi yoyote ya maana hapa nchini japo kununua box moja la panado kumsaidia mgonjwa Mwabwepanda?

Niliishia kupatwa na hasira nikazima hiyo TV nikaenda sinzia!
 
kikwete hakuandaliwa?

Mafuchila,
Kufuor alikuja State visit. Na miaka yote 8 ambayo Bush amekuwa mamlakani amefanya state visit 6 tu moja ikiwa ya Mwai Kibaki. Ziara ya rais Kikwete ilikuwa ama ni official au working visit. Hakukuwa na state dinner au mapokezi rasmi kule South lawn ya White House. Gazeti la jana la Washington Post lilikuwa na taarifa kamili juu ya state visit ya President of Ghana.
 
Mafuchila,
Kufuor alikuja State visit. Na miaka yote 8 ambayo Bush amekuwa mamlakani amefanya state visit 6 tu moja ikiwa ya Mwai Kibaki. Ziara ya rais Kikwete ilikuwa ama ni official au working visit. Hakukuwa na state dinner au mapokezi rasmi kule South lawn ya White House. Gazeti la jana la Washington Post lilikuwa na taarifa kamili juu ya state visit ya President of Ghana.

sasa hii ndo picha gani!Raisi wetu aliandaa dinner!kumbe safari zote hizo anakwenda hajawahi andaliwa statedinner!any way haina neno!
 
Don't forget Ghana is a peaceful African country that recently discovered comercially viable oil and are likely to discover more oil.

These people (US) are extremly calculating. they usually do not do stuff just for the sake of it.
 
Rais wa Ghana atinga Ikulu ya Marekani

Rais wa Ghana John Kufuor wa Pili Kulia,akiwa kwenye balcony ya Ikulu ya Marekani The White House baada ya kuwasili nchini humo kwa Mwaliko Maalum wa Rais wa Marekani George Bush,Kushoto kabisa ni Mke wa Rais Bush Laura Bush na wa Pili Kushoto ni Mke wa Rais wa Ghana Theresa Mensah.


Rais wa Ghana John Kufuor(Kushoto)akigonganisha glass na Rais wa Marekani George Bush Kwenye State dinner iliyoandaliwa na Rais Bush kwenye ikulu ya Marekani White House Jana.


United States Secretary of State Bi Condoleezza Rice akiwasili kwenye State Dinner Ikulu ya Marekani iliyoandaliwa na Rais Bush Maalum kabisa kwa Rais wa Ghana John Kufuor jana


Rais George Bush wa Marekani akimkaribisha Rais wa Ghana John Kufuor kwenye chakula cha jioni alichomwandalia (Rais wa ghana) kwenye Ikulu ya Marekani The White House Jana.Hivi karibuni Mwenyekiti wa Umoja wa Africa(AU)Rais Jakaya Kikwete alikuwepo nchini Marekani baada ya Kupata Mwaliko Rasmi kutoka kwa Rais wa Marekani George Bush Picha na Chip Somodevilla.
 
Back
Top Bottom