Tofauti ya utafiti wa Tanzania na mataifa mengine

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,415
4,881
DW (Kiswahili)
Yesterday at 17:14 ·
Tofauti ya kufanya utafiti Tanzania na nchi nyingine katika kupata takwimu za kiongozi anakubalika kiasi gani, nchi za kigeni zinawahoji raia wasiogemea mrengo wowote ila Tanzania, watu wanapewa simu halafu wanapigiwa na taasisi ya utafiti kupata maoni. (Rushwa iliyojificha, maana mtu anaweza kutoa maoni kulingana na taasisi ilipoegemea) Mchoraji wetu Said Michael anatoa taswira hiyo.

-PAXP-deijE.gif











3.7k Views
 

Attachments

  • DW (Kiswahili) - Kalenda Ya Matukio _ Facebook[2].mp4
    1.7 MB · Views: 45
Back
Top Bottom