Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Inategemea na amekuzidi umri kiasi gani. Hasara mojawapo ni yeye kuanza kuzeeka kabla yako. Akianza kuzeeka hatakuvutia tena. Menopause nayo ikishafika hatataka kumegwa. Unajua kuna tofauti kama mwanaume ndio mkubwa kiumri kwani hata kama akipatwa na erectile dysfunction inayokuja na umri kuwa juu siku hizi kuna dawa kibao unless ni severe case ambayo hata viagra, cialis, au levitra hazitafua dafu. Sasa mwanamke akipungukiwa libido sijui tiba yake ni nini...labda hormone relacement therapy.....

Na kwa maoni yangu mwanaume hatakiwi kumzidi mwanamke zaidi ya miaka 10.

Lakini inawezekana hayo uliyoyasema yasiwe applied kwa wenzetu wazungu? maybe ni kwa Africans tu kwani wao naona ndoa zao nyingi mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mumewe.
 
Lakini inawezekana hayo uliyoyasema yasiwe applied kwa wenzetu wazungu? maybe ni kwa Africans tu kwani wao naona ndoa zao nyingi mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mumewe.

Na viwango vyao vya talaka viko juu sana.....wanaoana na kutalikiana kama mchezo vile. Vegas kuna hadi drive-thru chapels zilizo wazi masaa 24 kwa dhumuni la kufungisha watu ndoa. Sasa kweli hawa wako serious hawa?
 
Oa mwayego....
hakuna hasara in mean time...
wote tutafikia menopause...
isiwe ndio sababu ya kututisha tusienjoy maisha kwa sasa!!!...
 
Faida:
1.si rahisi kudanganywa danganywa ovyo na wanaume.
2.anayajua maisha kuliko wewe.
3.wa aina hii mara nyingi wanakuwa na penzi la kweli.atakupenda sana.
4.rahisi kukuelewa.
Hasara:
1.wana wivu sana wanahisi kuibiwa vile?
2. Sometimes atapenda akucontroll
 
Kama its okay kwa mwanaume kuoa msichana mdogo...
Basi its okay kuoa mwanamke mkubwa vilevile...

Age is nothin but numbers......

Actually mwanamke mtu mzima kidogo
atakuwa mtulivu....
Atakupa attention zaidi...
Atakuwa mshauri mzuri kwako...
Love yenu haita base kwenye sex only...
Kutakuwa na respect based relationship which is a good thing...
She will bring the best in you....
Waislamu wanaambiwa ni vizuri kuoa mwanamke mkubwa kwa sababu nyingi kama hizo...
 
MAANDIKO KUHUSU KUWA NA MUME MKUBWA KULIKO UMRI WA MKE......

jamani kuna dada anauliza kama kwenye dini zetu kuna maandiko yeyote yanayomkataza mwanamke kuwa na mume mwenye umri mkubwa kuliko yeye.... kama unafaamu hebu mwelimishe huyu dada....

kwa mimi ninavyofahamu sijawahi kuona hayo maandiko na kwanza ukiniuliza mimi nitakwambia sio vibaya kuolewa na mwanaume mwenye umri mkubwa kwani mara nyingi hao huwa wanajuwa wanachokitaka katika ndoa na wake zao yani nikimaanisha wameshapitia mahusiano mengi na sasa ni wakati wa wao kutulia hawatakusumbua kama hawa vijana wanavyosumbua wake zao mara nyingi wake hujikuta wanalia kwasababu ya ndoa za na vijana waliolingana umri ama waliowapita umri chini ya miaka mitano...

cha muhimu ni juwa tu je wewe ni mwanamke wa kwanza anayekuoa ama alishawahi kuoa na kama alishawahi nini kilitokea mpaka akuoe tena? na pia juwa je anauwezo wa kukufikisha kimahaba kwasababu japo atakuwa mzuri kwako kwa kila kitu pia aweze kukufikisha kwasababu ili mapenzi na ndoa zidumu lazima mtimiziane haja zenu za sita kwa sita...

ukiachana na hayo hongera kwa kupata mpenzi na furahia masiha kwani huyo ndio Mungu aliyekuchagulia..

Nimeipata hii kwenye blog ya mwanamke na nyumba nikajiuliza nikakosa jibu, naomba kuwakilisha maana najua hapa hakuna linalokosa majibu.
 
Wakuu ina maana mpaka sasa hakuna mwana JF hata mmoja ambaye anajua maandiko ya dini yanasemaje kuhusu suala la umri katika mahusiano?
 
Katika dini ya Kiislam imezungumziwa kitofauti kidogo ni kuwa mwanaume mdogo anaweza kumuoa mwanamke anaemzidi umri....Mtume Muhammad SAW alimua Bu Khadija aliyekua na umri wa miaka 40 (kama nimekosea naomba kusahihishwa) ilhali mtume alikuwa na miaka 25. tena ni sunna kwa mwanaume kufanya hivi....kwa upande wa mke kuwa mdogo sioni kama kuna tatizo ila tatizo lipo kwa mke kuwa MTOTO...hii haifai....ila kuwa mdogo RUKSA kabisa.............
 
Kwani mwanamumu mtu mzima ana nini? kama anakufaa mama jichanganye!! wanaume watuwazima hawana taabu utapata uzoefu na uta pendwa kikweli kweli
 
Kuhusu hili swali me mwenyewe sina jibu kwa upande wa dini. But kibaiolojia kuoana au kufanya tendo la ndoa na mtu anayetofautiana naye umri mkubwa mf. Miaka 10. Lina athiri afya ya muhusika na mwenye umri mdogo atakuwa mdhaifu na mwenye umri mkubwa atajengeka kiafya na kuongeza siku zake za kuishi,
 
?????:eek:
 
akuna tatizo ktk hilo kabisa ni ruska mdogo kumwoa mkubwa the same yani
 
Katika dini ya Kiislam imezungumziwa kitofauti kidogo ni kuwa mwanaume mdogo anaweza kumuoa mwanamke anaemzidi umri....Mtume Muhammad SAW alimua Bu Khadija aliyekua na umri wa miaka 40 (kama nimekosea naomba kusahihishwa) ilhali mtume alikuwa na miaka 25. tena ni sunna kwa mwanaume kufanya hivi....kwa upande wa mke kuwa mdogo sioni kama kuna tatizo ila tatizo lipo kwa mke kuwa MTOTO...hii haifai....ila kuwa mdogo RUKSA kabisa.............

Inakuwaje wanawake wakubwa wanasutwa wakipata bwana yuko na umri mdogo?
Mimi nimeolewa na mwanaume niliyemzidi miaka 15 na iko poa tu.
 
Kuhusu hili swali me mwenyewe sina jibu kwa upande wa dini. But kibaiolojia kuoana au kufanya tendo la ndoa na mtu anayetofautiana naye umri mkubwa mf. Miaka 10. Lina athiri afya ya muhusika na mwenye umri mdogo atakuwa mdhaifu na mwenye umri mkubwa atajengeka kiafya na kuongeza siku zake za kuishi,

Mbona hii biology imechanganyikana na history!
 
ni tatizo iwapo limekaa akilin mwa muhusika!!
kidini:kikiristo Adam aliumbwa kwanza na baadae Hawa akachomolewa ubavuni(Mwanzo/Genesis)
 
Inategemea: Mfano, kijana wa kiume mdogo umri let say 12 yrs, akataka kuchakachua Ji-Mama la 40 yrs, hapo kuna madhara ya huyo kijana kubanwa sehemu zake za siri au kukaangwa maana korodani zinaweza zama ndani ya uke na kuunguzwa na joto la ukeni.

Au mfano: Ji-baba la Miaka 50 linataka kuchakachua totos ya 12 yrs, hii pia siyo nzuri kwani nyeti za Jibaba zinaweza kuwa kubwa kuzidi uke wa binti na hivyo kuziharibu sehemu zake.

Hivyo, kila jambo liendane kwa kiasi ingawa mila na mabila na pia imani mbalimbali zina maelekezo tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom