Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Nawasiwasi na huyo babu ukute ni kasangoma kamepeleka mashambulizi kwa kabinti ka watu na familia yake wawe wanamuona ni kijana wa miaka 22 kumbe ni kikongwe hasa.
Kweli hainiingi akilini kabisa eti miaka 112-17..mmmh hapo pana kakitu sio kwa mapenzi ya mungu hayo mapenzi ya sangoma tu. Hata kama anatumia viagra bado haijaingia akilini mwangu kabisa

ahahahahaaaaaaaaaaaa.
 
jamani kuna vibabu vingine

lyumba style;msiombe..mi kuna kibinti kilijichanganya na babu yetu mmoja kule moshi
uku tunahangaika wajukuu kupeleka hela kabinti kanaenda kuzichukua kama ATM crdb
tukiwa ndani KALE kabinti kakigongwa kanalia kama mtoto mdogo...mi nikauliza siku moja babu mbona bibi analia kila mara....akajibu ameona mwezi...jamani nilimwogopa..nilkuwa wa kwanza kutangaza sitomleta mkewangu aje kukaa moshi nikifanya mchezo nawezaletewa mimba ya babu yangu......

wa hiyo jamani hivi vijibabu si vya kuchezea
 
ndo maana siku hizi kila kona ukipita DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, kumbe ma babu km hawa ndo wanazitafuta ili wawe kama mota hahaha
 
Kwetu huyu binti atakalishwa chini na wazee ahojiwe!
Hii ni laana ya aina yake....mmmhhhh puuuuuuuuuuuuu!
 
huyu babu anakaa maeneo gani mazee watu kama hawa ni majirani wazuri sana kwa sisi watoa misaada si mnajua...
 
afghanistan-child-bride.jpg
 
Sikonge

Hii nayo kali mzee kama huyo kumkandamiza katoto kama haka jamani. Huu ni unyanyasaji kabisaa maana huyu binti hapo hapati hata raha bali ni karaha tupu.
 
Last edited by a moderator:
Hii nayo kali mzee kama huyo kumkandamiza katoto kama haka jamani. Huu ni unyanyasaji kabisaa maana huyu binti hapo hapati hata raha bali ni karaha tupu.
Kabinti jamani checki kanavokiangalia kibabu! duh!! kama vile kameshikiwa bastola kamuoe kwa lazima!!
 
Hata kama haviumizi ila huyu mtoto cha moto atakiona mapenzi hatofurahia. Mzee kama huyo hawezi kumpa uhuru mtoto kama huyo awe anachezea vile vitu.

Huyo babu anajua kuchezewa kwanza?? Ye anajua kuchovya na kutoa... ikikataa anatia mate
 
Wana jamvi naomba msaada wenu katika hili.

Eti sio vizuri kumwoa mwanamke aliyekuzidi umri?
Nini hasara zake endapo mwanamke amemzidi umri mumewe?
Na mwanaume anatakiwa amzidi miaka mingapi mkewe ili mambo yawe swafi?
 
Wana jamvi naomba msaada wenu katika hili.

Eti sio vizuri kumwoa mwanamke aliyekuzidi umri?
Nini hasara zake endapo mwanamke amemzidi umri mumewe?
Na mwanaume anatakiwa amzidi miaka mingapi mkewe ili mambo yawe swafi?

Inategemea na amekuzidi umri kiasi gani. Hasara mojawapo ni yeye kuanza kuzeeka kabla yako. Akianza kuzeeka hatakuvutia tena. Menopause nayo ikishafika hatataka kumegwa. Unajua kuna tofauti kama mwanaume ndio mkubwa kiumri kwani hata kama akipatwa na erectile dysfunction inayokuja na umri kuwa juu siku hizi kuna dawa kibao unless ni severe case ambayo hata viagra, cialis, au levitra hazitafua dafu. Sasa mwanamke akipungukiwa libido sijui tiba yake ni nini...labda hormone relacement therapy.....

Na kwa maoni yangu mwanaume hatakiwi kumzidi mwanamke zaidi ya miaka 10.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom