Tofauti ya Tanzania na Ivory Coast ninii?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Wakuu mie sioni tofauti iliyopo kati Ya Ivory Coast kwa sasa na TZ, nyie mnaonaje wakuu hapo?
 
Wakuu mie sioni tofauti iliyopo kati Ya Ivory Coast kwa sasa na TZ, nyie mnaonaje wakuu hapo?

Tofauti ipo kubwa sana Wachezaji wa Tz hawana stamina na wa ivory cost wameshiba misuri wao kosa moja huwa ni goli lakini Tz hata wapate makosa mangapi kupata goli huwa ni bahati
 
Wakuu mie sioni tofauti iliyopo kati Ya Ivory Coast kwa sasa na TZ, nyie mnaonaje wakuu hapo?

Then hustahili kuwa shabiki wa football,
michezo inayokufaa wewe
mashindano ya kufukuza kuku, mbio za mbuzi, mashindano ya kunywa maziwa ya moto, kuvuta kamba n.k

Huku naona umepotea!
 
Back
Top Bottom