MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
Wakuu.
Naomba kujua tofauti ya modem za airtel za sasa na zamani na zipi ni bora.
Naomba kujua tofauti ya modem za airtel za sasa na zamani na zipi ni bora.
Hata za airtel zinachakachulika ila hapo kwenye 7.2mbps ina saidia nini kama prov wako anakupa 512kbps.
Kwa hiyo ina maana mnapokuwa kwenye mtandao mwenye modem ya zamain anapigwa bao na mwenye modem mpya (hizi za sasa) bila kujalisha kuwa mtandao unatoa 3.76g? Mkuu mkwawa hebu niwekee sawa hapa naona kuna tenge.