Tofauti ya kupenda na kutamani ni ipi?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Je waweza kupenda zaidi ya mpenzi mmoja au hapo ni kuwatamani tu...............

Utajuaje mpenzi huyu unampenda na huyu mwingine unamtamani tu...........................Hivi kweli zipo tofauti kati ya haya mawili.................................

Au waweza kumpenda na kumtamani mpenzio kwa yote mawili kwa pamoja?
 
Kupenda kunatoka moyoni na kutamani kunatoka machoni hope umenielewa................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom