Tofauti ya Kikwete na viongozi wengine wa Tz

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Nimekuwa mfutatiliaji wa siasa za bongo. Kuna kitu nimegundua JK anapoenda kufungua miradi ya maendeleo yeye anafika anatia mkasi tu bila hata kufuatilia chochote mbona Mwanri anagombana na viongozi kila kukicha? Au JK bado anatafuta popularity? Hebu tupeni tofauti nyingine mnazozifahamu khs JK na viongozi wengine.
 
Yeye ana Prince anayekuashiria na kuandaa ulaji wowote Tanganyika... Prince is more powerful than his VP
 
Hapo napo kuna neno! Hv kwel kwa nin Mwanry kawa mbogo huko kwny Halmashauri? JK vp hukagui b4 kukata utepe?
 
Siri ni kwamba watu wote wa protocol ni ndugu zake na mwenyewe alikiri hapo zamani kwamba wote wameishia darasa la Saba na Kama kasoma sana form kazi aliyokuwa akifanya dereva. Hamkumbuki Yule mjumbw wa nyumba kumi wa pale Vigwaza aliteuliwa kuwa Katibu wa CCM Kule Moshi? Kwa hiyo kipofu akimwongoza kipofu si mnajua fika matokeo yake? Mwanri hana watu wa protocol anakwenda mwenyewe macho makavu bila miwani ndio maana anaona huo uchafu na anakataa kupokea. Huyu JK anakwenda na agenda za kusafisha akina Ludivick kwani file la UDA bado liko kwake akimtibua ununuzi aliofanya Ridhwani utamtokea puani. Ngoja mtaona ripoti ya CAG kuhusu UDA iatakavyokuwa na mauza uza ndipo mtajua kile ni kichwa na sio Nazi!
 
Hapo naweza kumtetea JK kwa kweli unajua Raisi wa nchi sio sawa na Waziri wa Tamisemi na serikali za Mitaa, mpaka Raisi anakwenda kuzindua mradi huwa kuna watu wanakuwa wametangulia mapema kabisa kwenda kuweka mambo sawa unapomuona yeye anakwenda na kukata tu jua kuna watu walishapita kusafisha, Raisi haendi kichwa kichwa tu kuna watu wa protocal. Wakati mwingine madhaifu yanatokea ni ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom