Tofauti ya CUF na CHADEMA

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
SN
CUF
CHADEMA
1
Walisema ni cha kiislamu
Kinaambiwa cha wakristo
2
Waliwahi kutoka bungeni
Wamewahi pia
3
Waliwahi kuandamana sana
Maandamano kila siku
4
Waliwahi kupata kipigo sana
Kipigo wamepata
5
Waliwahi kuuliwa na polisi
Hawa nao walishapata kuuliwa
6
Waliwahi kutomtambua raisi
Hawa nao waliwahi pia
7
Waliwahi kuongoza kambi ya upinzani bungeni
Hawa wanaongoza sasa
 
walishawahi kutaka sitting allowance zifutwe ..................... hawa nao
right?..go on comparing
 
Comparison ya kipuuzi sana hii.....hawa wanavaa magwanda je cuf? Malizia sasa? Hawa wana kiongozi mkubwa zenji na wale je? Nia yako nini manake hatukuelewi.
 
Back
Top Bottom