Tofauti ya CHADEMA na CCM hii hapa

Nimechunguza kila chama na nikagundua haya katika vyama hivi viwili:-
1. Chadema ni walalamikaji sanaaaa-CCM ni sakivu na wanajari kile wanacho lalamika.
2. Chadema kunamagamba mabichi - CCM kunamagamba yaliyooza
3. Chadema hawataki kusemwa - CCM ni wavumilivu wako tayari kusemwa na kujirekebisha.
4. Chadema sio wazalendo (Wakiudhiwa kidogo bungeni wanazira) - CCM hata ukiwaudhi watakusikiliza na kufikiri na kutoa jibu

5. CHADEMA wanadhani wao Tanzania ni yao - CCM wanachulia Tanzania ni ya watanzania.

Kunautofauti mkubwa sana katika vyama hivi viwili lakini watu wa CDM watakataa. Hebu jaribu kufikiria hata wewe
:A S thumbs_down:
 
Hakuna tofauti yoyote kati ya Ccm na Chadema.
1. Wote wezi.
2. Wote wana viongozi waropokaji.
3. Wote wana viongozi waganga njaa na watafuta umaarufu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Nadhani kwanza umekubaliana na mimi ndio ukaongezea sio?

Okey ngoja nikutolee maelezo: Sikatai kuwa kuna matatizo yaliyojitokeza kwenye CCM. Uko sawa kabisa.

LAKINI
CCM sasa inajirekebisa na ukiona sasa kila kitu kinaenda sawia. CHADEMA wameanza kuwa na magamba mapya kabisaa.

1. Utunzaji wa pesa ndani ya chama haueleweki.
2. Hawana process za kufundisha viongozi yaani ni fungulia dog
3. Wanadai wako na wanasheria but hawasolve mambo kisheria wanakurupuka tu. Mfano mikataba hiyo uliyosema wamesolve vipi kisheria? kama kweli ni makini zaidi ya kupiga kelele kwa watanzania ili wawahurumie.
4. Viongozi wake hawana experience ya uongozi zaidi ya ujuzi wa biashara na hiyo inakipelekea chama kuwa kama kampuni.
5. Mmepata kitu kidogo tu sasa mnaanza kufanya ufisadi (kula rushwa mfano MOSHI)
6. Mnataka kujitafutia sifa ambazo haziwahusu. Mfano katiba ya TANZANIA mnataka kujifanya nyie ndio mliopigia kelele wakati CUF ndio chama pekee kilicho anzisha suara hili.

Kuna yapo mengi sana ila nashukuru kwa KUUNGA MKONO HOJA YANGU.

Sijaunga mkono hoja yako Nduguyangu hapa nilijaribu kutoa hoja ya kupima mapungufu yaliyopo kwenye vyama kabla ya kukupa jibu kwenye hoja yako. Labda hujasoma vizuri mapungufu ya CCM, na sipendi nikushangae kusema wamejirekebisha wakati mambo niliyotaja yenye blue hata moja halijafanyiwa ufumbuzi.
Sipendi kujiingiza kwenye ushabiki wa kuandika kwa kupewa kitu kidogo au kuahidiwa UKUU wa Wilaya, nazungumzia hali ya maisha yetu sisi wananchi huenda wewe siyo miongoni mwetu.
1. Maneno ya utunzaji fedha ndani ya CHADEMA lazima uende huko uwakague, lakini hata CCM mweka hazina wao anatembea na fuko kugawa hela au hukuwepo Igunga/Arumeru Mashariki? Uliza Lusinde.
2. Chuo cha CCM Kigamboni huna habari kuwa kilishafungwa? Au ndipo mafisadi wenu walichukua PhD na kuambiana kuwa Nitasema uongo daima ukweli kwangu ni MWIKO tujuze hapo.
3. Wanasheria wa CHADEMA hawapo kwenye mihimili ya DOLA maana hata wakikosoa yanaingia na kutoka kama uliangalia Bunge lililopita Mwanasheria mkuu wenu analinganisha bidhaa feki na saa yake ya OMEGA au hukumuona ulienda kwenye ziara USA na Mkullo.
4. Uongozi mahali popote hauna experience hata baba wa Taifa wakati anakuwa Rais hakuwa na uzoefu wowote ukitoa ualimu, Kikwete urais alijifunzia wapi na alitawala wapi? Mkapa pia Mwinyi wote wameanzia hapa TZ
5. Rushwa ya Moshi kama ipo watuhumiwa watashtakiwa, labda tujadili ya CHENGE pesa aliyoweka visiwa vya JERSEY inakuwaje hiyo pia kwenye mikataba ya Richmond iliyosainiwa usiku usisahau ya MBUNGE WA BAHI au umekuwa Nyani haoni kundule?
6. Mambo ya Katiba yanatuhusu wote lakini utatuelezea waliotoka nje ya ukumbi wa Bunge wakati mswada unapitishwa ni nani pia walimsaidia rais kuwa amesaini feki ni nani mpaka ukarekebishwa upya ndiyo maana nasema usiandike hoja kwa ajili ya kupewa chochote maneno yatoke moyoni tena kwa dhati kabisa.
Nakushauri waulize viongozi wako wa CCM kuhusu majibu hayo nafikiri watakwambia kuwa ni kweli na wanaogopa kumsema yeyote anayehusika na kashfa sababu walitumia kupata madaraka 2010.
 
Ona sasa naye huyu sijui anaongea kitu gani tena? Wewe unaijua CHADEMA au unaisikia?

1. Kwanini Mbunge wa zamani wa CHADEMA alihama na kurudi CCM?
2. Kwann Mtei na Nyerere walishindwa kuelewana?

Inabidi ufikirie kidogo. Chadema wanachofanya si kibaya.

LAKINI

Bado msingi wake ni mbovu. Uwasilishaji wa hoja, jaziba nyingi.

CHADEMA wanatumia kitu kinachoitwa RUSHWA ZA MANENO ambazo ni mbaya kuliko kitu chochote. Yaani unatumia udhaifu wa mtu kumtumainisha mkate ambao hataweza hatakuupa, na unafanya hivyo kwa lengo la kitu furani.

Chadema mnaposema nyie ni wakombozi sawa kabisa lakini hatutaki ukombozi wa maneno tu. Chukueni japo kijiji kimoja cha mfano DODOMA mtuoneshe hiyo mipango yenu kama sio Debe tupu tu?

Nakuomba bwana Kakulwa P soma alama za nyakati CCM inabadilika bwana.
 
Kuna mambo hujayajua vizuri hakuna mbunge wa chadema aliyerudi CCM.
sHERIA YA KUANZISHA VYAMA VINGI VYA SIASA ILIANZA KUTUMIKA 1992 kwa maana hiyo walio wengi walitoka ccm kuanzisha vyama, ni kawaida watu kukosana na SHETANI NA MUNGU hawapatani najua hata wewe wapo marafiki zako mnatofautiana lakini mnaenda pamoja. Upinzani si uadui Mtei na Nyerere nafikiri tofauti ilikuwa IMF nakumbuka miaka ya 1982 sasa hiyo haileti uhalali wa CCM kula pesa za wananchi watakavyo, kama wewe ni mTZ hata pesa ya safari za rais wamekula wapambe wenu hujaisikia hiyo najua hakuna hatua zitachukuliwa dhidi yao, nyie mnalia na watendaji wa Vijiji na Kata kwa rushwa ya buku mbili.
Naona umeelewa vizuri mjadala hakuna jazba wa kinyongo popote penye ukweli uongo hujitenga, naona majibu yangu hukutoa niliyokujibu najua huna wewe unatumikia chochote ugange njaa ila subiri siku ikifika ya ukombozi utakosa pa kukimbilia maana utapashwa ufanye kazi upate malipo siyo kushindia majungu ili ulipwe.
 
Wewe ndiye hujui kabisa CHADEMA hivi unamfahamu Kaburu wa kigoma? alikuwa mbunge wa chama gani?
na alihama akaenda chama gani? waulize wenzako watakueleza. Pia je alihama kwaajili gani? halafu uliza ndani ya chama kwanini Zitto na Mbowe hawaelewani?
 
AUTAUGWA MKONO SANA UKIENDA KWENYE BLOG YA CCM MAANA HAPA MACHIZI NAFASI YAO NDOGO MNO HUBADILISHI MTU MAWAZO HAPA MUULIZE WILLIAM MALECELA NA NAPE WAMEKIMBIA WENYEWE SASA NA WEWE NENDA LUMUMBA UKAPOKEE POSHO HUNA JIPYA POLE SANA FISADI MTOTO:boxing:
 
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
kweli kauli yako inafanana na wewe uesahau lowasa vs kikwete,makamba vs nape ccm yote vs membe hujui siasa wewe kalime mpunga tukuongezee posho:clap2:
 
Wewe ndiye hujui kabisa CHADEMA hivi unamfahamu Kaburu wa kigoma? alikuwa mbunge wa chama gani?
na alihama akaenda chama gani? waulize wenzako watakueleza. Pia je alihama kwaajili gani? halafu uliza ndani ya chama kwanini Zitto na Mbowe hawaelewani?

Ujajua kuchambua nisemayo, yasome halafu unaweza kujibu hata kesho Walid Aman Kabouru hakuwa chadema kama mbunge alikuwa kibaraka wa CCM ndio maana alirubuniwa SIWEZI KUYASEMA HAPA ila waulize Magamba watakwambia yote.
Mie siyo kusema siijui CHADEMA ninajua vyama vyote kwa marefu na mapana yake ndiyo maana nakwambia ninapoandika hapa JF sitegemei kupewa posho/mshahara na yeyote awaye ila nasema mustakabali wa nchi yetu na matatizo yanayotukabili kwa uzembe wa Viongozi wa CCM.
Nilishasema tofauti kwa binadamu ni sehemu ya maisha, au hujui kusoma vizuri ndugu yangu hata wewe kuna marafiki zako mnatofautiana lakini mpo pamoja. Hata CCM kuna makundi yanaleta shida lakini bado wanatawala taifa hili, ndio maana najiuliza kama wewe upo bongo au unatumika kuandika ili ulipwe chochote jioni.
Kama upo hivyo hata tupige kelele vipi unaona yote sawa maana unakuwa kama MKE WA MWIZI asubiriye kilichoibwa ndio aanze kupika, lakini sisi wananchi tunavoishi hakuna anayeweza kukuunga mkono kwa usemayo na usivyojua kufanya uchambuzi wa mabishano miongoni mwetu.
 
Sasa kama wewe unajua vyama vyote. Je kabouru alikuwa CHADEMA au hapana? nijibu kwanza hapa.
 
annael umewashika pabaya,cdm ni wahuni na waropokaji tu majukwaani,tena wakipewa nchi hawa watanzania tutajuta kuzaliwa,rais wa zambia michael santa alipata kuwa waziri mwandamiz awamu ya kaunda na chiluba,mwai kibaki alkuwa waziri mwandamizi wa moi na kenyata,,je slaa au mbowe??mtatufanya kama misri sasa,,cdm kuongoza nchi hii labda 2050
 
Annael wewe tuseme hujui tofauti ya ugali na kinyesi! Siku hizi watu hawaagi kwenda msalani wanasema nimetoke au na kwenda ccm;wewe ni sawa na inzi wa chooni ndio maana hutoki huko,inzi wa chooni hunenepa sana na hawajui kingine zaidi ya kinyesi, 2015 tutawatoa kwa moto ; na mtajuta kuzaliwa nchi hii.
 
Umelaaniwa na aliyekulaani alifariki na kaburi lake limepotea! Vinginevyo ungeenda kuomba radhi kwa kulala juu ya kaburi hilo. Na ulaaniwe zaidi kwa vile wewe ni mshari!?
Mkuu@Havizya Usimuhukumu mtu mkuu muachie Mungu Mwenyewe ndio atakaye muhukumu . Ikiwezekana muombee dua kwa mungu amuongoze njia ya ukweli.
 
Hivi watu tunaangalia chama au maendeleo? Watu naona mmekaa kutetea vyama tu... Kama Chadema inaweza basi muwape wafanye tuone, CCM kusema wanaweza wameshindwa... Weakness nyingi hii serikali yenu, Kila siku stori hakuna matendo... Ka Chadema wanasema wanaweza na wameonesha wana njia possible basi wape.... Msishabikie vyama, chagua mtu... Tuseme leo CCM wote wahamie Chadema, nini kitabadilika kama mtawapa watu walewale? Nyie watu wazima bna.... Choose a person not a party....
 
Back
Top Bottom