Tofauti wa maneno haya.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Je tofauti ya maneno ni ipi.
Namfahamu mtu huyu,
Namjua mtu huyu.
 
Hamna tofauti isipokuwa neno kufahamu na kujua ni kufahamu umefahamishwa ndio ukamfahamu kabla ya hapo humjui lakini kujua nitoka hapo unamjua bila ya kufahamishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom