Tofauti ni nini?

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Wanandugu hope mu wazima,

Hivi tofauti ya haya maneno ni nini?Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji.
maana ya maneno haya matatu kwenye mahusiano ni nini?

Kuna shosti wangu analalamika kuwa mchumba wake hawezi kutamka 'nakupenda' kwa madai ya kuwa anamtamani tu, yeye anapenda baba,mama, kaka na dada..na kuongezea ya kuwa akimwambia anampenda atajibweteka na kujiachia afu akawa hatamanishi tena.

Swali ni je definition ya haya maneno inatofautiana kulingana na jinsia?

Nawakilisha
 
kila kitu hapo kina kazi yake hebu tuwasubiri wadau waje
 
Atakuwa bado hajaamua kama kampenda sababu wengine wanapenda wawe sure kama wamependa kweli ndio watamke sio kudanganya wenzao
 
Wanandugu hope mu wazima,

Hivi tofauti ya haya maneno ni nini?Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji.
maana ya maneno haya matatu kwenye mahusiano ni nini?

Kuna shosti wangu analalamika kuwa mchumba wake hawezi kutamka 'nakupenda' kwa madai ya kuwa anamtamani tu, yeye anapenda baba,mama, kaka na dada..na kuongezea ya kuwa akimwambia anampenda atajibweteka na kujiachia afu akawa hatamanishi tena.

Swali ni je definition ya haya maneno inatofautiana kulingana na jinsia?

Nawakilisha

Mimi huwa napenda kutumia neno Nakuhitaji, Hili neno Nakutamani linaonekana la dharau kidogo, Nakupenda ni gumu sana kutamka. Kwangu ni rahisi kutamka Nawapenda au Nampenda sio nakupenda
 
Ni maneno yanayohitaji wataalamu wa kiswahili. BAKITA watupe maana ya maneno haya Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji..
 
Kamusi pia inaweza saidia

nijuavyo, kutamani (tamaa-desire) huendana na hamu (longing for something). Na hamu ni kama kiu, ikishapata cha kuipoza inakatika. that is to say...jamaa hampendi na hamchukulii kama mpenzi wake, bali anamtamani/ana hamu naye tu, something very temporary.
 
Back
Top Bottom