Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
mbweta hebu........namaanisha 'ndani' kwani we ukiingia waingia tumboni???
Mbavu zanguuuuuuuu
mbweta hebu........namaanisha 'ndani' kwani we ukiingia waingia tumboni???
Umenifurahisha sana MO. Dogo anashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho! Back to the topic, dogo kifupi anaonyesha hana maandalizi mazuri na hiyo ndiyo inayoleta huo ubaridi unaosema. Hivi ukipata mzungu sijui ndiyo utasemaje maana hao nasikia ndiyo baridi kabisa yaani hawanogi!mbweta hebu........namaanisha 'ndani' kwani we ukiingia waingia tumboni???
mbweta hebu........namaanisha 'ndani' kwani we ukiingia waingia tumboni???
great thinker oyeee.......!!!!!!pole.........tafuta heater ya kumpashia moto.........temperature itapanda tu!!!!!!!
Kibami hahahaha Safi sanaVizuri kuangalia pande zotentoto una akili weyee! kuna mdada aliambiwa ''uko loose sana'', akamjibu jamaa ''nadhani ww ndo uko too small aka kibami*', lolliest!mbweta,hebu cheki kama una malaria aisee
Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata nimkumbatie vip yan hana joto tofauti na wanawake wengine unakuta mtu wa moto kwel kwel kama jiko. Mara ya kwanza nilihisi labda anaogopa ivo nimejarib kufanya vivo katika vipind tofauti lakin yupo vilevile ili kwang ni tatizo kwan kwanza upunguza presha ya mchezo, mbili tu tunaanza agana. Pliz hapa nin tatizo?