Tofauti kati ya penzi la dhati na penzi la kulogwa

somba kankara

Member
May 6, 2012
84
13
Habali za wakati huu wana JMF naomba mnisaidie kati ya haya maswala Nitalitambua vipi penzi la kutoka moyoni na penzi la kutoka kwa mganga Maana wanaume wengine unakuta anafanya kazi zote za ndani na mkewe yupo kakaa ukiiuliza unaambiwa mapenzi ya dhati na aliyelogwa nae vilevile na jamaa zangu husema love-up to the craz-point
 
Upendo wa dhati una adabu na kumuheshimu mwezako. Si kumtumikisha mwenzio.
 
Kwanza kabla ya yotee usipeleke fikra zako yuko kua kuna penzi la kurogwa sababu ukishaweka hiyo kwenye akili yako ushakuaa wasiwasi na huna imani na nafsi yako na umpendae pia, kumsaidia mkeo kupika au kusafisha sio kurogwa Bali nimapenzi, ivi kwa upande wako Kama mkeo/mumeo anaumwa huwezi kumpikia chai au kumuwekea maji yakuoga? Sio kurogwa nimapenzi tuu.....
 
Wewe penda tu, hicho ndicho kitu rahisi kufanya kuliko kujua mwenzio ana mapenzi ya kweli au la!
Ukijifeel hupati penzi sepa!

Na kama si muhusika, it is even more harder kujua mapenzi ya watu wengine.
 
mwanaume hatakiwi kufanya kazi?
Kwa hiyo wanaume wanaoa ili wqapate wafanyakazi?
Mwanaume akimsaidia mkewe kazi ndo anakua karogwa? Yaani watu wasionyeshane mahaba wewe unadai karogwa? Loh.......
 
Babu odm inabidi bibi awe anakupa morning glory ila nitampeleka kimanzichana kwa mganga aw mange kimambi
 
aah unaja unapoongelea kusaidia panaonekana kama mkeo anaumwa ninawezakufanya kazi zote lakini mzima!!
 
Penzi la dhati linatoka kwa MUNGU kwa kuwa MUNGU ni PENDO (GOD is LOVE)
Penzi la mganga linatoka kwa shetani Kwakuwa shetani ni muharibifu (devil is destruction)

AMEN.............
 
mwanaume anafanyishwa kazi wakati mama amekaa anaangalia tv au anaongea na mashoga zake...huyo definitely KALOGWA
 
Back
Top Bottom