Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Ni chama kinachopambana na propaganda mbaya sana kwa ustawi wa taifa; udini, ukabila, nchi kutotawalika, vurugu na mengi yenye kufanana na hayo. Hata tanu na asp vilikutana na mbwembwe hizi wakati wa kumtimua mkoloni.
 
Ni chama ambacho hata mwalimu nyerere alikikubali na kukipenda kuwa kiko makini na katiba yake ni swadakta
 
Ni chama chenye kuungwa mkono na makundi yote katika jamii..mf. vijana, wazee, matajiri, maskini, vilema, waliokata tamaa na maisha, watoto, viongozi wa dini, wasiokuwa na dini, mabalozi wa nje na ndani, kila kada ya serikali wanaifagilia CDM kwa mf. TISS, TPDF, POLICE, PRISON, MILITIA, ikulu, wizara zote, ndo maana wana data za kila idara...

kaka umenifurahisha sana, kiukweli ukiachana na Kikwete, waliobaki wengi wanaikubali sana CDM ila ndo basi hawana cha kufanya kwa vile wanalinda matumbo.
 
Back
Top Bottom