Wakuu nimenunua hii huawei e173 ya airtel, nimeinstall kwenye computer yangu(window 7 ultimate) fresh kabisa na network inasoma bila shida, lakini inagoma ku-connect internet. Msaada tafadhali kwa wanaotumia hii modem.
mnh ya elf 70 ndo ipi? Maana sjawah ziona ungeeka aina za hizo modem then tutafanya comparison
Balance iko vizuri, nikiweka kwenye simu line inasoma bado nina zaidi ya MB 200 katika lile bundle la MB 400. Kwakweli nimeshindwa kuelewa tatizo hasa liko wapi?Mkuu jaribu kuangalia balance kama ipo.
Jaribu kubadili line ujue tatizo ni line au modem otherwise i have no further coments.Balance iko vizuri, nikiweka kwenye simu line inasoma bado nina zaidi ya MB 200 katika lile bundle la MB 400. Kwakweli nimeshindwa kuelewa tatizo hasa liko wapi?
ni kweli ziko slow ila ndio cheap. TTCL ziko faster ila ni 8,000 kwa wiki!.mmmh! Mkuu,sikushauri uchukue modem ya aina yoyote kutoka Airtel,usijaribu,ziko slow sana.Jaribu kwingine
Hiyo ya offer ya 30,000 ni nyeupe, iko slow kichizi, ila rate yao iko low. aIle ya 70,000 ni nyekundu, iko faster pesa inakwenda sana!. Ukiinua hiyo ya offer, wanakudanyia net ya bure kwa miezi 6, kiukweli, wanakupa bundle fulani, within a month, bundle linakata, unarecharge kwa 150 na kupewa MB 50. Ile nyekundu, bundle yake ya MB 50 ni 500!.
sasa wewe kwa nini unaleta matatizo yako kwenye post ya mwenzio? Toa suluhisho kwanza ndio uelezee matatizo yako! Hapo ni sawa na kuomba msaada kwa anayeomba msaada.wakuu nimenunua hii huawei e173 ya airtel, nimeinstall kwenye computer yangu(window 7 ultimate) fresh kabisa na network inasoma bila shida, lakini inagoma ku-connect internet. Msaada tafadhali kwa wanaotumia hii modem.
Ni kweli mkuu ulichosema, nisamehe bure!sasa wewe kwa nini unaleta matatizo yako kwenye post ya mwenzio? Toa suluhisho kwanza ndio uelezee matatizo yako! Hapo ni sawa na kuomba msaada kwa anayeomba msaada.