Tofali za kuchoma

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Maeneo ya kisarawe mpaka kimara nawezapa tofali za kuchoma kwa localmaker kwa bei rahisi? Ninataka kuanza kujenga japo 2 room,nimechoka kulipa kodi,nisaidieni
 
wataalam wa maeneo hayo wanakuja ..wewe subiri.usisahau kuweka chumba cha wakwe pia..
 
kaza buti mkuu, hata mie nimetumia tofali hizohizo na nyumba iko bomba ile mbaya, cha muhimu kama kweli umedhamiria kujenga inabidi ufunge mkanda, lakini usikate tamaa kila kitu kinawezekana, kwako ni kwako hata kama ni porini, temana na hizo nyumba za shikamoo!
 
Back
Top Bottom