Today's relationships

Humu kuna watu ambao wanadai wako kwenye ndoa. Lakini cha kushangaza kila siku humu wana flirt na watu ambao si wenza wao.

No wonder why they are for "privacy"!
 
Hakuna privacy wala babu yake privacy semeni mnaficha mambo tu bana. Hiko kiungo chenyewe kinachoitwa "private part" mnapeana tena na makelele kibao mpaka majirani wanaamka. Acheni wizi

Nimemaliza
Aksante shem na kweli umemaliza. What is more private zaidi ya hiyo? and individualistic too!
Ah tungekuwa tunanyimana na hivyo basi kama tunataka privacy in our marriages! Nadhani concept ya kuwa mwili mmoja inakuwa ngumu kueleweka, tunailimit kwenye sharing kitanda tu!.
 
Hakuna privacy wala babu yake privacy semeni mnaficha mambo tu bana. Hiko kiungo chenyewe kinachoitwa "private part" mnapeana tena na makelele kibao mpaka majirani wanaamka. Acheni wizi

Nimemaliza

Hahahahaha..... wengine baba na mama ni wezi.... Waweza kuta ni genetic....
 
Humu kuna watu ambao wanadai wako kwenye ndoa. Lakini cha kushangaza kila siku humu wana flirt na watu ambao si wenza wao.

No wonder why they are for "privacy"!

Ngabu lile swali umeahirisha kuuliza? lol... I have a feeling it has to do with this post... Labda yaweza kukusaidia kuelewa!
 
Picking the discussion from where I find it: Mariage is a SOCIAL institution. Ila ukweli ni kwamba you are still two separate INDIVIDUALS na kila mtu anahitaji some personal space inside and outside. Tuache mbali swala la sim, unaweza kua na kiti fulani that you consider "yours" na hata spouse wako akikalia you can ask him/her to seat on another one sababu unataka kiti 'chako'.
The same applies to the phone. You might consider your phone like you considered your diary when you were in early teenage (sijui kama wanaume wanakua na hii but wasichana wengi ninao wajua walikua nazo). you might not have anything secret in it but you just feel like it is too personal to be shared.
That said, I have to admit that binafsi my husband has free access to my phone, email and other accounts.

-Impressed- Dah!
 
....halafu,

siku hizi hizo smartphones mnazotumia, kila mnakokwenda mnaacha 'footprints' na hizo sijui ndio check in-
location apps, aiseee...?
images
...."tekelinalojia" msipotumia vizuri ndoa nyingi zi mashakani!
 
yule ambaye hajali kujua mpenzio anawasiliana na nani hapendi ...mapenzi lazia kuwe na wivu na wats the point ya kukaa na mtu kama hamna trust sii bora tuu mseme kuanzia mwanzo kuwa hapa tunapeana raha tuu na unaruhusa ya kuchachua wengine.
but the moment unakubali kuingia katika serious relationship u sign a psychological contract of trust openness and needless to say faithfulness. anything that puts at risk any of the above mentioned should be viewed as detrimental to the relationship and hence should be treated with caution. hivyo yoyote yule katika relationship ana haki na niwajibu wakujua nini mwenzio anafanya with that fone ...hii nikatika kulinda penzi lenu na pia kujiepusha na majanga. wadhungu wasema...FORWARNED FORARMED!!!!
 
Aksante shem na kweli umemaliza. What is more private zaidi ya hiyo? and individualistic too!
Ah tungekuwa tunanyimana na hivyo basi kama tunataka privacy in our marriages! Nadhani concept ya kuwa mwili mmoja inakuwa ngumu kueleweka, tunailimit kwenye sharing kitanda tu!.

Shem unajua mwenza wako anapoanza vitabia kama hivi vya kubana bana simu ndio mtu unaanza kupata ka wasiwasi ambako kanazaa kutokuaminiana. Mimi waifu nikimwambia aniazime simu nicheze gemu akijibu haiwezekani basi siku ya pili naanzisha sredi ya kutafta mchumba mwengine hapa JF. Kinamama naomba mniunge mkono kwa hili, nitawahitaji
 
....halafu,

siku hizi hizo smartphones mnazotumia, kila mnakokwenda mnaacha 'footprints' na hizo sijui ndio check in-
location apps, aiseee...?
images
...."tekelinalojia" msipotumia vizuri ndoa nyingi zi mashakani!

Yaani darling! The only way out ni kutozitumia vibaya.
 
Aksante shem na kweli umemaliza. What is more private zaidi ya hiyo? and individualistic too!
Ah tungekuwa tunanyimana na hivyo basi kama tunataka privacy in our marriages! Nadhani concept ya kuwa mwili mmoja inakuwa ngumu kueleweka, tunailimit kwenye sharing kitanda tu!.

mnh,...

sweetheart hapa naomba nisieleweke tu, ila nahitaji privacy zangu fulani fulani aisee i.e passwords, payslips, bank accounts & PIN numbers etc...

Kwa experience yangu, wanawake ni wadadisi sana mwanaume ampe access codes zake zote, lakini yeye mnhhhh!

Klorokwini ipo siku utagundua uchungu wa hicho kidonge na kwanini kilipewa formula hii;
chloroquine-structure.gif
 
Today's Relationships: You can touch
each other, but not each other's phones.
Hii imekaaje?

Sio relationship zote. Wenye hilo tatizo ni wale wote ambao hawana uaminifu. Haitakusaidia kitu kukataa mwenzio kuishika simu yako ili kuficha siri zako, siku hizi siri hakuna kabisa. Sasa hivi tekinologia iko juu, unaweza kupata mawasiliano yote anayofanya mwenzio kila siku bila hata kuigusa simu yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom