NELSON RUKIZA
New Member
- Apr 18, 2011
- 3
- 10
Daaah hii mada ni hatari..on my side ishu ni kuaminiana tuu coz u may inspect his or her phone daily kumbe mwenzio ana lyn tatu so imekula kwako haswaaaaa
khaaa! Utaniharibia ndoa, we nikikwambia mbu hakufai utafurahi?
Lol.
Uporoto saizi yangu kabisa. Hivi huwa unakagua simu ya mbu?
Dah,I bet na wewe ya mwenzi wako no ya kwake. Isijekuwa yako yako na yake yako....lol...kiapo cha nini tena yarabi? mie msema kweli daima bana, wengi waliomstari wa mbele (incl wakili klorokwini)
kukemea tabia hiyo, wengi wao ndio walio mstari wa mbele kuwaficha wenza wao yanayohusiana na simu zao...
yes i said it, otherwise...kwanini maugomvi mengi ya kizazi hiki yanahusisha matumizi ya mobile fones?
...aheri ya nusu shari bana, mie yangu nai lock 24/7...mambo ya kununiwa kisa nimepokea sms yenye xoxo, au kwanini nimejibu "me too...!," hapana kwa afya ya akili yangu.
khaaa! Utaniharibia ndoa, we nikikwambia mbu hakufai utafurahi? Lol.
Uporoto saizi yangu kabisa. Hivi huwa unakagua simu ya mbu?
Hahah Hus bana, hapana lisimu lake la analogu halivutii hata kulitizama, achilia mbali kulishika! No games, no nothing
Lol Mbu habari za jioni baba, ushakula?
Dah,I bet na wewe ya mwenzi wako no ya kwake. Isijekuwa yako yako na yake yako.
hahaha.... Dear naona yategemea na one's/couple's stand.... But IMHO...
- Mambo ya kazini ambayo Kampuni hairuhusu yajulikane.
- Mambo mengine ya kifamilia ni ya aibu e.g mjomba kabaka mdogo wako (God forbid)
- Kwamba kuna mwanaume/mwanamke mwingine wamkubali kuliko yeye spouse wako.
- Yaweza yakawepo mengine.... (but haya si yatosha B'?)