Today's photo

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
kama huna sumu hiyo inaweza ikawa gia namba moja baadae unaweka neutral
 
hmmm badala ya kuangalia anakoelekezwa....macho yanaangalia matiti na viuno..! ANA HAMU HUYO HAJAPOTEA WALA NN!!!!!
 
KUULIZA si ujinga au ulidhani anaomba msaada wa kupelekwa?

gfsonwin, ishu za kuulizana siku hizi zimekua ni noma...kuna hawa sijui ndio chuma ulete akikuuliza tu na wewe ukajibu neno basi punde utapumbazika akili na wanakukomba kila kitu bila nguvu.
 
gfsonwin, ishu za kuulizana siku hizi zimekua ni noma...kuna hawa sijui ndio chuma ulete akikuuliza tu na wewe ukajibu neno basi punde utapumbazika akili na wanakukomba kila kitu bila nguvu.

kumbe eti watu8 siku hizi siwasikilizi tena watu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom