Today is my birthday

Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii kuwaomba MUMUOMBEE FLORA MSOFFE AJIFUNGUE SALAMA, Mungu awabariki wote.

You just share a birthday with my brother,happy birthday.
 
Naungana na wewe kumshukuru Mungu kuwa unaendelea vizuri, kumbuka kila siku Anayokupa ina maaana una kitu cha kufanya kwa ajili yake itumie vizuri na fanya kitu kwa ajili ya Mungu naye hatakuacha bure maana yeye si dhalimu hata aisahau kazi yako.

Hivi kumbe leo ni b'day yako? kweli ulizaliwa jumapili? kama hukuzaliwa jumapili basi kumbe sio leo!!!! ulizaliwa juma ngapi ili ikifika nikupe hbd yako?
 
Back
Top Bottom