Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii kuwaomba MUMUOMBEE FLORA MSOFFE AJIFUNGUE SALAMA, Mungu awabariki wote.